Mkuu wa WHO aliyepondwa na Trump kuwatetea wachina aitwa Nyani na wachina wenyewe

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inasikitisha sana jinsi wachina sasa hivi wanavyotunyanyasa eti watu weusi tunasambaza maambukizi ya Corona.

Licha ya yote Inahuzunisha zaidi hadi kumuita nyani na kumdhiahaki kwa rangi yake mkuu wa WHO raia wa Ethiopia Tedro Adhanon Gebreyesus licha ya kuitetea serikali ya China kwenye Corona. Wachina kwenye mitandao ya kijamii sasa hivi ni kututukana tu manigger.

Licha ya yote pia wa Oromo kabila kubwa Ethiopia linalotaka kujitenga wamefurahi mkuu huyo wa WHO kutukanwa na kuitwa nyani.

Tedro Adhonom ametokea kabila la Tigray Kaskazini mwa Ethiopia ambalo wana uadui mkubwa na Oromo hadi hawawezi kuowana.

Inasemekana Tedro Adhonom aliwashtua ndugu zake wa Kaskazini mapema January kuchukua tahadhari za haraka kupambana na Coronavirus. Ndio maana maambukizi ya Korona Kaskazini mwa Ethiopia ni machache.
 
Waafrika punguzeni kulalamika, mtatukanwa nyani hadi mtie akili maana nchi zetu hizi hatutaki kuziboresha, kila tunachogusa kinaangukia pua. Wenyewe tunabaguana weusi kwa weusi, kule Afrika Kusini ukiwa Mwafrika mgeni unaitwa makwerekwere na hawakawii kukutia mapanga wakikukuta maeneo fulani fulani.
Weusi hao walipokezwa nchi yenye uchumi mkubwa, wakaibamiza.

Binadamu ameumbwa mwenye desturi ya kuheshimu au kuogopa ubabe, nguvu na uwezo, ukiwa hauna ubavu wa kuwa mbabe utatukanwa tu na kudharauliwa. Waafrika hatuna chochote cha kutishia watu, labda mali ghafi zetu tu ambazo wao huchukua watakavyo.

Tungekua na teknolojia zetu za sayansi na kijeshi, tungeheshimika sana na ndio kitu alishagundua dogo Kim wa Korea Kaskazini, kwamba kupata heshima lazima uwe mtemi, uwe mgomvi ambaye haubabaishwi na pia unazo teknolojia zako na makombora yanarindima kwenye mazoezi.

Leo tumekaa tunasubiri msaada kutoka kwa hao hao Wachina, akina Jack Maa wanatuma madude ya kutusaidia kupima Corona, hivyo hata wakitutukana hatuna ubavu wa kuwajibu, maana wanaweza hata wakatia sumu kwenye hayo madude.
 
Hao ni wahuni wachache tu wa mtandaoni (Trolls) na wala huo siyo msimamo wa serikali ya China.
Hakika serikali ya UCHINA Imeshatoa msimamo wao tayari

sasa sijajua wazungu wa afrika watakuja na slogan gan!?

Sent using My COVID-19
 
Leo umeongea point mnooo yaani nimekuelewa sanaa
Waafrika punguzeni kulalamika, mtatukanwa nyani hadi mtie akili maana nchi zetu hizi hatutaki kuziboresha, kila tunachogusa kinaangukia pua. Wenyewe tunabaguana weusi kwa weusi, kule Afrika Kusini ukiwa Mwafrika mgeni unaitwa makwerekwere na hawakawii kukutia mapanga wakikukuta maeneo fulani fulani.
Weusi hao walipokezwa nchi yenye uchumi mkubwa, wakaibamiza.

Binadamu ameumbwa mwenye desturi ya kuheshimu au kuogopa ubabe, nguvu na uwezo, ukiwa hauna ubavu wa kuwa mbabe utatukanwa tu na kudharauliwa. Waafrika hatuna chochote cha kutishia watu, labda mali ghafi zetu tu ambazo wao huchukua watakavyo.

Tungekua na teknolojia zetu za sayansi na kijeshi, tungeheshimika sana na ndio kitu alishagundua dogo Kim wa Korea Kaskazini, kwamba kupata heshima lazima uwe mtemi, uwe mgomvi ambaye haubabaishwi na pia unazo teknolojia zako na makombora yanarindima kwenye mazoezi.

Leo tumekaa tunasubiri msaada kutoka kwa hao hao Wachina, akina Jack Maa wanatuma madude ya kutusaidia kupima Corona, hivyo hata wakitutukana hatuna ubavu wa kuwajibu, maana wanaweza hata wakatia sumu kwenye hayo madude.
Ila ulipofeli Kumtaja KIM Bila kuwataja WAAJEMI Hapa tu ndio Ulipo feli Mzee Baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
 
Leo umeongea point mnooo yaani nimekuelewa sanaaIla ulipofeli Kumtaja KIM Bila kuwataja WAAJEMI Hapa tu ndio Ulipo feli Mzee Baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
Ugomvi wangu na Waajemi ni tabia yao mbovu ya kufadhili magaidi ya kidini. Wangekua wanafanya yao ndani kwa ndani kama Kim, wala nisingekua na issue nao.
 
Wamemfadhili gaidi gan?!

Kama kufadhili magaidi hata US Aliwafadhali Magaidi Kama Kina Mandela Saddam Nawengineo Kabla Hajawachenjia

Sent using My COVID-19
 
Upo sahihi mzee baba.
Waafrika punguzeni kulalamika, mtatukanwa nyani hadi mtie akili maana nchi zetu hizi hatutaki kuziboresha, kila tunachogusa kinaangukia pua. Wenyewe tunabaguana weusi kwa weusi, kule Afrika Kusini ukiwa Mwafrika mgeni unaitwa makwerekwere na hawakawii kukutia mapanga wakikukuta maeneo fulani fulani.
Weusi hao walipokezwa nchi yenye uchumi mkubwa, wakaibamiza.

Binadamu ameumbwa mwenye desturi ya kuheshimu au kuogopa ubabe, nguvu na uwezo, ukiwa hauna ubavu wa kuwa mbabe utatukanwa tu na kudharauliwa. Waafrika hatuna chochote cha kutishia watu, labda mali ghafi zetu tu ambazo wao huchukua watakavyo.

Tungekua na teknolojia zetu za sayansi na kijeshi, tungeheshimika sana na ndio kitu alishagundua dogo Kim wa Korea Kaskazini, kwamba kupata heshima lazima uwe mtemi, uwe mgomvi ambaye haubabaishwi na pia unazo teknolojia zako na makombora yanarindima kwenye mazoezi.

Leo tumekaa tunasubiri msaada kutoka kwa hao hao Wachina, akina Jack Maa wanatuma madude ya kutusaidia kupima Corona, hivyo hata wakitutukana hatuna ubavu wa kuwajibu, maana wanaweza hata wakatia sumu kwenye hayo madude.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivihivi tutashangaa WW3!
Sijui ntakimbilia wapi kenge mimi!!
Dah! Mweka mada waambie waache hao kuna kimanzi nakifatilia kwanza nikishakikila waanze..
Kula raha na kimanzi mkuu. Weka mtoto ndani mjenge familia hakuna ww3.
 
Back
Top Bottom