Mkuu wa WHO aliyepondwa na Trump kuwatetea wachina aitwa Nyani na wachina wenyewe

Mkuu wa WHO aliyepondwa na Trump kuwatetea wachina aitwa Nyani na wachina wenyewe

Waafrika tushajiwekea hali ya kubaguliwa navwazungu na tunajali sana kila neno linalotuzungumzia kwa upande hasi.
Kwa mfano nikimwambia mwafrika mwenzangu 'wewe nyani toka hapa' inaweza isiwe ishu kubwa kwa sababu mimi niliyemwambia huyo ni mweusi kama yeye, lakini kauli hiyo akiitoa mzungu itakuwa habari kubwa hadi itafika mitandaoni.
Kwa hiyo fikra za kubaguliwa ndizo zinazotutesa.

Umeongea point kamanda

Cc; socrate jr
 
Hakika serikali ya UCHINA Imeshatoa msimamo wao tayari

sasa sijajua wazungu wa afrika watakuja na slogan gan!?

Sent using My COVID-19
Kama walivyotoa msimamo wao kuhusu kudhibiti ugaidi? Hhaaa, ni mjinga wa mwisho atakayekuwa anawaamini Wachina kuwa wana nia njema na Dunia nzima zaidi ya ubinafsi na njaa
 
Inasikitisha sana jinsi wachina sasa hivi wanavyotunyanyasa eti watu weusi tunasambaza maambukizi ya Corona.

Licha ya yote Inahuzunisha zaidi hadi kumuita nyani na kumdhiahaki kwa rangi yake mkuu wa WHO raia wa Ethiopia Tedro Adhanon Gebreyesus licha ya kuitetea serikali ya China kwenye Corona. Wachina kwenye mitandao ya kijamii sasa hivi ni kututukana tu manigger.

Licha ya yote pia wa Oromo kabila kubwa Ethiopia linalotaka kujitenga wamefurahi mkuu huyo wa WHO kutukanwa na kuitwa nyani.

Tedro Adhonom ametokea kabila la Tigray Kaskazini mwa Ethiopia ambalo wana uadui mkubwa na Oromo hadi hawawezi kuowana.

Inasemekana Tedro Adhonom aliwashtua ndugu zake wa Kaskazini mapema January kuchukua tahadhari za haraka kupambana na Coronavirus. Ndio maana maambukizi ya Korona Kaskazini mwa Ethiopia ni machache.
Hata waafrika wanaobagua wachina wapo pia... Racism is every where.

Sema waafrika tuache inferiority complex... Watu wote tuko sawa tofauti ni upambanaji tu.

Hao wachina miaka ya 60 tulikuwa nao sawa kiuchumi... This time wanaongoza dunia, its better na sisi tukajiwekea strategies za kimaendeleo sababu wasomi tunao wakutosha ila tunashindwa kuwatumia.

Tuache kujadili mambo ya ubaguzi kwa kipindi hiki... Dunia nzima ime panic[emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu anaipambania nyumba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivihivi tutashangaa WW3!
Sijui ntakimbilia wapi kenge mimi!!
Dah! Mweka mada waambie waache hao kuna kimanzi nakifatilia kwanza nikishakikila waanze..
🤣🤣 We kenge mda ni mali
 
Inasikitisha sana jinsi wachina sasa hivi wanavyotunyanyasa eti watu weusi tunasambaza maambukizi ya Corona.

Licha ya yote Inahuzunisha zaidi hadi kumuita nyani na kumdhiahaki kwa rangi yake mkuu wa WHO raia wa Ethiopia Tedro Adhanon Gebreyesus licha ya kuitetea serikali ya China kwenye Corona. Wachina kwenye mitandao ya kijamii sasa hivi ni kututukana tu manigger.

Licha ya yote pia wa Oromo kabila kubwa Ethiopia linalotaka kujitenga wamefurahi mkuu huyo wa WHO kutukanwa na kuitwa nyani.

Tedro Adhonom ametokea kabila la Tigray Kaskazini mwa Ethiopia ambalo wana uadui mkubwa na Oromo hadi hawawezi kuowana.

Inasemekana Tedro Adhonom aliwashtua ndugu zake wa Kaskazini mapema January kuchukua tahadhari za haraka kupambana na Coronavirus. Ndio maana maambukizi ya Korona Kaskazini mwa Ethiopia ni machache.
Habari za kichochezi hizi
 
Back
Top Bottom