Mkuu wa WHO aliyepondwa na Trump kuwatetea wachina aitwa Nyani na wachina wenyewe

Mkuu wa WHO aliyepondwa na Trump kuwatetea wachina aitwa Nyani na wachina wenyewe

Inasikitisha sana jinsi wachina sasa hivi wanavyotunyanyasa eti watu weusi tunasambaza maambukizi ya Corona.

Licha ya yote Inahuzunisha zaidi hadi kumuita nyani na kumdhiahaki kwa rangi yake mkuu wa WHO raia wa Ethiopia Tedro Adhanon Gebreyesus licha ya kuitetea serikali ya China kwenye Corona. Wachina kwenye mitandao ya kijamii sasa hivi ni kututukana tu manigger.

Licha ya yote pia wa Oromo kabila kubwa Ethiopia linalotaka kujitenga wamefurahi mkuu huyo wa WHO kutukanwa na kuitwa nyani.

Tedro Adhonom ametokea kabila la Tigray Kaskazini mwa Ethiopia ambalo wana uadui mkubwa na Oromo hadi hawawezi kuowana.

Inasemekana Tedro Adhonom aliwashtua ndugu zake wa Kaskazini mapema January kuchukua tahadhari za haraka kupambana na Coronavirus. Ndio maana maambukizi ya Korona Kaskazini mwa Ethiopia ni machache.
Started from the bottom now we are here

Another shithole uzi
 
Hivihivi tutashangaa WW3!
Sijui ntakimbilia wapi kenge mimi!!
Dah! Mweka mada waambie waache hao kuna kimanzi nakifatilia kwanza nikishakikila waanze..

Hivi bado unasubiri vita ya tatu ije wakati tupo kwenye fields kabisa
Vita sio bunduki na madege na makombora tu
Bali hata ya virusi ni vita pia na ndio ukae mguu sawa
Mass graves huko NY
Ambapo walikuwa wanaona CNN tu jinsi Iraq na Syria wanazika watu wao kwa mamia kwenye handaki
Bado unasubiri vita au niishie hapo


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hakika serikali ya UCHINA Imeshatoa msimamo wao tayari

sasa sijajua wazungu wa afrika watakuja na slogan gan!?

Sent using My COVID-19
Watu wanapenda sana FAKE NEWS,kuna Media ya Kenya iliandika kichwa cha habari UKAIDI WA MAGUFULI na wananchi wa kenya wakaingia kwny page ya hio media na kumponda sana magu,sasa je ni sahihi kusema hicho kinachoandikwa na Wakenya huko mitandaoni ndio msimamo wa serikali ya Kenya,
 
Ni jeshi la mtandaoni la vijana wa China mainland wanaojifanya ni Wataiwan,wanatuma meseji za kumtusi huyo mkuu wa WHO lengo ni kujenga chuki kati ya WHO ya Taiwan
 
Watu wanapenda kuropoka tu kila jambo
Watu wanapenda sana FAKE NEWS,kuna Media ya Kenya iliandika kichwa cha habari UKAIDI WA MAGUFULI na wananchi wa kenya wakaingia kwny page ya hio media na kumponda sana magu,sasa je ni sahihi kusema hicho kinachoandikwa na Wakenya huko mitandaoni ndio msimamo wa serikali ya Kenya,
Binafsi nilijua kama msimamo waserikali hauwez kua vile kabka hata hawajatoa tamko

Sent using My COVID-19
 
Ni jeshi la mtandaoni la vijana wa China mainland wanaojifanya ni Wataiwan,wanatuma meseji za kumtusi huyo mkuu wa WHO lengo ni kujenga chuki kati ya WHO ya Taiwan
Haha[emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
 
ukiitwa nyani unakuwa nyani ?
Waafrika tushajiwekea hali ya kubaguliwa navwazungu na tunajali sana kila neno linalotuzungumzia kwa upande hasi.
Kwa mfano nikimwambia mwafrika mwenzangu 'wewe nyani toka hapa' inaweza isiwe ishu kubwa kwa sababu mimi niliyemwambia huyo ni mweusi kama yeye, lakini kauli hiyo akiitoa mzungu itakuwa habari kubwa hadi itafika mitandaoni.
Kwa hiyo fikra za kubaguliwa ndizo zinazotutesa.
 
Jamaa ukiangalia historia yake no mwadilifu sana hiyo paragraph yako ya mwisho mpumbavu tu anayeweza kuamini eti aliwashtua kundi LA kabila lake wachukue tahadhari na wewe naye unabeba story za vijiweni kuzileta humu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom