Mkuu wa WHO aliyepondwa na Trump kuwatetea wachina aitwa Nyani na wachina wenyewe



Umeongea point kamanda

Cc; socrate jr
 
Hakika serikali ya UCHINA Imeshatoa msimamo wao tayari

sasa sijajua wazungu wa afrika watakuja na slogan gan!?

Sent using My COVID-19
Kama walivyotoa msimamo wao kuhusu kudhibiti ugaidi? Hhaaa, ni mjinga wa mwisho atakayekuwa anawaamini Wachina kuwa wana nia njema na Dunia nzima zaidi ya ubinafsi na njaa
 
Hata waafrika wanaobagua wachina wapo pia... Racism is every where.

Sema waafrika tuache inferiority complex... Watu wote tuko sawa tofauti ni upambanaji tu.

Hao wachina miaka ya 60 tulikuwa nao sawa kiuchumi... This time wanaongoza dunia, its better na sisi tukajiwekea strategies za kimaendeleo sababu wasomi tunao wakutosha ila tunashindwa kuwatumia.

Tuache kujadili mambo ya ubaguzi kwa kipindi hiki... Dunia nzima ime panic[emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu anaipambania nyumba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivihivi tutashangaa WW3!
Sijui ntakimbilia wapi kenge mimi!!
Dah! Mweka mada waambie waache hao kuna kimanzi nakifatilia kwanza nikishakikila waanze..
🤣🤣 We kenge mda ni mali
 
Habari za kichochezi hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…