Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
😄😄😄 mbona bubujiko la machozi ya furaha😄Basi wamwambie aingie tu ndani watarudia kuimba tena akiwepo.maana mambo mengine hayahitaji nguvu zaidi ya kutumia tu busara. Akigoma tena pia kuingia ndani wamwambie nitakuja kuongoza wilaya hiyo bure kabisa mpaka wananchi wabaki Wanabubujikwa na machozi ya furaha muda wote.