Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
πππ mbona bubujiko la machozi ya furahaπBasi wamwambie aingie tu ndani watarudia kuimba tena akiwepo.maana mambo mengine hayahitaji nguvu zaidi ya kutumia tu busara. Akigoma tena pia kuingia ndani wamwambie nitakuja kuongoza wilaya hiyo bure kabisa mpaka wananchi wabaki Wanabubujikwa na machozi ya furaha muda wote.
Duh!Hii imetokea huko Mbulu mkoani Manyara hii leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani kwa sababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia.
Kazi kwelikweli nchi hii mambo ni mengi. Hapo tayari ni mgogoro wa DC na DED na madiwani wake. Kisa ni Wimbo wa Taifa.
Angernda Olympic ashinde medali kisha aimbiwe akiwepo πππInashangaza sana unaacha kushughulikia maendeleo ya Wananchi kwa sababu ya Wimbo wa Taifa ambao unaimbwa hata uwanja wa taifa watu wakiwa wamelewa.
Tusubiri wajuziWajuzi wa mambo, mi naomba elimu tu kuhusu haya mambo ya itifaki na maana zake. Nimetuma kutochagua kwanza upande wa kumshambulia tu huyo DC mpaka nielimike kwanza. Ahsanteni sana!!
Mkuu naona umejitangulizia pasi mbele.πBasi wamwambie aingie tu ndani watarudia kuimba tena akiwepo.maana mambo mengine hayahitaji nguvu zaidi ya kutumia tu busara. Akigoma tena pia kuingia ndani wamwambie nitakuja kuongoza wilaya hiyo bure kabisa mpaka wananchi wabaki Wanabubujikwa na machozi ya furaha muda wote.
Haya majitu majinga ni kuyaondoaAnalipwa na Kodi za watanzania halafu anainua mabega. Magufuli wakati wake sahizi tunasoma mkeka mtandaoni