Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
Hapo sasa...
magazeti yataandikaje hicho kitu? Balaa kubwa ona hii
Mkuu wa wilaya aamua kuzoa ________ baada ya matopasi kugoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa...
Nashangaaa! wakati itakuwa kafundisha kwa cku 1.
Chalii amenijuza kuwa Mkuu wa Wilaya Korogwe ameingia darasani kufundisha hesabu za kujumlisha darasa la saba na maumbo darasa la sita kufuatia mgomo wa walimu. Mkuu huyo aliingia kupiga nondo hizo katika shule ya msingi Mazoezi-Mbeza iliyopo katikati ya mji wa Korogwe.
Nusu mara kimo mara kitako nimekosea au nimepatia?