Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
Hapo sasa...
Nashangaaa! wakati itakuwa kafundisha kwa cku 1.
Chalii amenijuza kuwa Mkuu wa Wilaya Korogwe ameingia darasani kufundisha hesabu za kujumlisha darasa la saba na maumbo darasa la sita kufuatia mgomo wa walimu. Mkuu huyo aliingia kupiga nondo hizo katika shule ya msingi Mazoezi-Mbeza iliyopo katikati ya mji wa Korogwe.
Nusu mara kimo mara kitako nimekosea au nimepatia?