Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kuna clip inasambaaa DC kafunga sijui danguro la Riverside. Ajabu katangaza bar zilizo karibu na danguro zifungwe. Hizi bar zinalipa vibali vyote manispaa na TRA.
Kuna kiki za kulazimisha zisizo na msingi. We umekamata danguro umefunga bar zinakuhusu nini. Otherwise pale Mwananyamala hospt lile danguro lililokuwa likitutunza ndoa za watu opp na hospt mbona RC alidili na danguro hakufunga hospt ya Mwananyamala.
Hamkujua wale waliona wagonjwa ndani hawana pa kulala pale ndipo palikuwa sehemu ya kujifariji. Mbona hakufunga hospt ya Mwanyamala.
Kick zingine mjipange kabla ya kuita tv kuwarekodi mnaishia kuaibika. Ati bar zisifunguliwe mpaka mje ofisini ofisini kufanya nini, rushwa?
Muwe na busara na hekima mnapoenda kuongea mbele za watu.