Mkuu wa Wilaya ana mamlaka gani kufunga baa?

Hilo danguro lipo wilaya gani?! Na huyo aliyefunga ni mkuu wa wilaya husika?!

Sometimes wakuu kufanya matukio ya namna hiyo ni kutikisa tu kibiriti na kutengeneza discipline kwamba wahusika wasijisahau, serikali ipo kazini.

Baa haitafungwa milele, wacha kuleta nyuzi za kiwaki!
Je, kwa mujibu wa Katiba ya nchi hii hayo ndio majukumu ya kazi ya Mkuu wa Wilaya??????
 
Hili swala la madanguro wangeruhusiwa tuu...watengenezewe mazingira..wasajiliwe na kisheria walipe na kodi...sasa mtu mzima anauza kiungo chake mwenyewe na bado mnamkamata
 
Wale kilichowasanua wengi hawauzi wanaiba Wewe hauujui mchezo ulivyo most of them are thief sex workers wanakuibia kwa njia ya kukuuzia penzi, hio ndio sababu ya kwenda kudakwa sababu sio kwamba wanauza HUKU mtaani mboni wapo wanaouza Ila hujawahi sikia Buza kumefungwa wa Temeke kumefungwa Tabata Barakuda kumefungwa, tatizo wale walianza kuiba na wana sungusungu wamepaki nje ukimzingua akipaza sauti umeisha na walivyo kikundi jiandae kusaula kwa hio ni risk ni mbaya na haifai km wangekua fair wasingefuatiliwa Ila hawa-play fair wanaibia watu wanaowafuata kwenda kulala nao

Nitakupa mfano mdogo unaenda pale anakwambia bao 1 5000 ukifika ndani dakika 1 haijaisha tayari anakwambia mda umeisha ongeza hela unatoa tena 5000 haijaisha dakika 2 anakwambia Muda umeisha ongeza hela tena huna hela anavaa nguo zake anakuvua condom uende ukisema uongeze hela anahesabu dakika haizidi 3 unaambiwa Muda umeisha, huo km sio Wizi ni nini?

Wanatumia technique ya kukuuzia Mwili kukuibia nothing else sasa wewe na tamaa zako utaishia kuibiwa bila kujua km unaibiwa baada ya wengi kufanyiwa hivyo ndio ikabidi wadhibitiwe wakafanye shughuli zingine Ila sio Ile ya kujifanya wanauza Mwili ilihali wanaibia watu hakuna wanachouza wanaibia tu watu kijingajinga na Wajinga wengi wameshaibiwa kijingajinga just like that unaenda anakuibia tu basi nothing else,

Watu wakiamua wameamua ndio kilichotokea wameamua sasa km mnatuletea Wizi wa kijingajinga tunawatimua kachomeni vitumbua shenzi type mnatuletea Wizi kwa style ya kuuza Mwili hapa Wezi wakubwa

Kinachowabana watu wenye Bar ni kwamba kwenye zile Bar kuna vyumba na vile vyumba wale wanavilipia kwa kufanya huo ushenzi kwa hio ni syndicate inamaana na wao ni washirika wao maana km ingekua sio washirika wangewakatalia kua huu upuuzi wenu msiufanyie hapa Ila umekua km Mchezo maana wao wanapata Pesa kwa HIO na wao kuhusishwa ni sahihi kabisa maana hawawezi kujitoa kwenye HICHO kitanzi wao pia ni wahusika wakubwa kwa sababu wanawakodishia vile vyumba na wanajua kila kinachoendelea wanafahamu abc zote hawawezi wakasema hawajui sababu ni kitu kilichokua kina-operate kwa Muda mrefu na wao wanaona kila kinachoendelea, sasa hapo unajitoaje? Unasemaje wewe hauusiki? Unasemaje haikua umewaruhusu wakati umewakodishia vyumba wafanye wanachokifanya?
 
Huyo ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kama baa inahatarisha usalama kwa watu anamamlaka ya kufunga
 
Hili swala la madanguro wangeruhusiwa tuu...watengenezewe mazingira..wasajiliwe na kisheria walipe na kodi...sasa mtu mzima anauza kiungo chake mwenyewe na bado mnamkamata
Yeah kama South wanalipa na kodi
 
Hili swala la madanguro wangeruhusiwa tuu...watengenezewe mazingira..wasajiliwe na kisheria walipe na kodi...sasa mtu mzima anauza kiungo chake mwenyewe na bado mnamkamata
Yeah kama South wanalipa
Wale kilichowasanua wengi hawauzi wanaiba Wewe hauujui mchezo ulivyo most of them are thief sex workers wanakuibia kwa njia ya kukuuzia penzi, hio ndio sababu ya kwenda kudakwa sababu sio kwamba wanauza HUKU mtaani mboni wapo wanaouza Ila hujawahi sikia Buza kumefungwa wa Temeke kumefungwa Tabata Barakuda kumefungwa, tatizo wale walianza kuiba na wana sungusungu wamepaki nje ukimzingua akipaza sauti umeisha na walivyo kikundi jiandae kusaula kwa hio ni risk ni mbaya na haifai km wangekua fair wasingefuatiliwa Ila hawa-play fair wanaibia watu wanaowafuata kwenda kulala nao

Nitakupa mfano mdogo unaenda pale anakwambia bao 1 5000 ukifika ndani dakika 1 haijaisha tayari anakwambia mda umeisha ongeza hela unatoa tena 5000 haijaisha dakika 2 anakwambia Muda umeisha ongeza hela tena huna hela anavaa nguo zake anakuvua condom uende ukisema uongeze hela anahesabu dakika haizidi 3 unaambiwa Muda umeisha, huo km sio Wizi ni nini?

Wanatumia technique ya kukuuzia Mwili kukuibia nothing else sasa wewe na tamaa zako utaishia kuibiwa bila kujua km unaibiwa baada ya wengi kufanyiwa hivyo ndio ikabidi wadhibitiwe wakafanye shughuli zingine Ila sio Ile ya kujifanya wanauza Mwili ilihali wanaibia watu hakuna wanachouza wanaibia tu watu kijingajinga na Wajinga wengi wameshaibiwa kijingajinga just like that unaenda anakuibia tu basi nothing else,

Watu wakiamua wameamua ndio kilichotokea wameamua sasa km mnatuletea Wizi wa kijingajinga tunawatimua kachomeni vitumbua shenzi type mnatuletea Wizi kwa style ya kuuza Mwili hapa Wezi wakubwa

Kinachowabana watu wenye Bar ni kwamba kwenye zile Bar kuna vyumba na vile vyumba wale wanavilipia kwa kufanya huo ushenzi kwa hio ni syndicate inamaana na wao ni washirika wao maana km ingekua sio washirika wangewakatalia kua huu upuuzi wenu msiufanyie hapa Ila umekua km Mchezo maana wao wanapata Pesa kwa HIO na wao kuhusishwa ni sahihi kabisa maana hawawezi kujitoa kwenye HICHO kitanzi wao pia ni wahusika wakubwa kwa sababu wanawakodishia vile vyumba na wanajua kila kinachoendelea wanafahamu abc zote hawawezi wakasema hawajui sababu ni kitu kilichokua kina-operate kwa Muda mrefu na wao wanaona kila kinachoendelea, sasa hapo unajitoaje? Unasemaje wewe hauusiki? Unasemaje haikua umewaruhusu wakati umewakodishia vyumba wafanye wanachokifanya?
HIVI UNAJUA LODGE ZA SINZA KIBAO VYUMBA VIBALIPWA NAHAWA MADADA POA AKIKUCHUKUA ANAKWAIA HIO BEI N PAMOJAQ NA CHUMBA UNAENDA LODGE NZURI TU UNAKOJOA UNAANZA...SIO HIVYO KUNA LODGE NILIWAHI BEBA ZIGO LA TELEGRAM KUINGIA NDAN NKAKUTA KUNA VTANDA VIWILI KATIKATI KUNA SHUKA LIMEWEKWA KUINGIA NDAN NASIKIA SAUTI YA MDADA ANAPELEKEWA MOTO NKASITA KUINGIA MZIGO UKANIHAKIKISHIA USALAMA USIHOFU HIKI KITANDA CHANGU NKAPIGA MZIGO HUKU NAANGALIA NYUMA MDA WOTE MBAYA WALE WAKITOKA LAZIMA WAPITE KITANDA CHETU WAKAFUNGUE MLANGO BASI NIKIONA KMYA MDA WOTE NACHUNGULIA KAMA WANAPITA NENDA LODGE KBAOOO HAWA N WAJASRIAMALI WAZURI NA WANALIPA LODGE PER WEEK
 
usiomber ukorofishane na nkeo ahamie kwa watoto siku anaamua kurudi chumban anq period utajuta
 
LODGE ZA SINZA
Wale wa Sinza wapo fair SIO km Riverside hivi unaelewa maana ya fairness, ngoja nikufungulie ukurasa Sinza room yake amepanga lodge hakuibii unakula wali kuku unashiba huambiwi ongeza hela package ni hio HIO sana sana labda aombe tip ya bia haizidi 2000/5000 na sio lazima lakini hapo ushajilia vyako ushamaliza, ushanielewa? Sasa hivi vitoto vya Riverside tamaa zimewaponza hawakua fair ongeza hela ongeza hela zimewaponza wanataka watoke na hela za vicoba mifuko Kumi ishirini kwa siku anataka amalize vichwa 20 mwisho anaanza kuiba watu wanashikwa na hasira wanaona Bora wamtimue

SIO Sinza tu Kimara, Tabata, Mbagala, Kigamboni, Magomeni, K/Koo, Masaki, Msenge wewe, Mabibo, Mbezi Beach, Chanika, Tandika, Temeke, Ubungo, Mbezi Mwisho kote wamepanga lodge Ila wana-play fair unakula ulicholipia sio unaagiza wali kuku unapewa Ugali na Miguu ya kuku ujinga huo nani anataka?
 
Kuna clip inasambaaa DC kafunga sijui danguro la Riverside. Ajabu katangaza bar zilizo karibu na danguro zifungwe. Hizi bar zinalipa vibali vyote manispaa na TRA.

Kuna kiki za kulazimisha zisizo na msingi. We umekamata danguro umefunga bar zinakuhusu nini. Otherwise pale Mwananyamala hospt lile danguro lililokuwa likitutunza ndoa za watu opp na hospt mbona RC alidili na danguro hakufunga hospt ya Mwananyamala.

Hamkujua wale waliona wagonjwa ndani hawana pa kulala pale ndipo palikuwa sehemu ya kujifariji. Mbona hakufunga hospt ya Mwanyamala.

Kick zingine mjipange kabla ya kuita tv kuwarekodi mnaishia kuaibika. Ati bar zisifunguliwe mpaka mje ofisini ofisini kufanya nini, rushwa?

Muwe na busara na hekima mnapoenda kuongea mbele za watu.
Huyu Bwana mdogo ni mjinga sana.Kweli ni vibaya kuwa na madanguro tena sana lakini approach anayokwenda nayo siyo nzuri.Imejaa udhaliishaji na utwezaji wa utu wa mtu.Anataka kuiga ya Makonda apate kiki lakini haoni kuwa Makonda ana deal na touching issues za wananchi na siyo faragha za watu.CCM bado ina nafasi nzuri ya kumrekebisha huyu mtoto.Bado kabisa akili yake.
 
Ndoooomaana askofu wa kkkt mstaafu alionya vijana mnaopata .madaraka tumien kwa hekima na busara
 
Kabisa Mkuu ,Askofu alisema kweli.Na siyo vijana tu hata watu wazima kuna wanaokurukupuka. Subra hakuna kabisa. Tumesika ya juzi ya kule Tabora.Mkuu wa Mkoa anafura na ukimsoma lugha ya uso na mwili unaona kabisa mlengwa ni waziri fulani wa zamani.Lakini maelezo yanayopatikana sasa ni tofauti kabisa na dhana.Hakuna jambo lenye heshma kama kuendea jambo kwa busara na subra .Tumuombe Mwenyezi Mungu atuepushie mbali na viongozi wa aina hii katika Taifa letu.
 
Boraaa uteue marehemu kuliko ukutane na wa ainaahii
 
Back
Top Bottom