Mkuu wa Wilaya Busega atoa pole kwa familia iliyompoteza kijana wao katika maandamano

Mkuu wa Wilaya Busega atoa pole kwa familia iliyompoteza kijana wao katika maandamano

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760


Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim ameta pole kwa familia ya Mzee Daudi ambayo imempoteza mtoto wao, Meshaki Daudi aliyefariki kwa kupigwa risasi wakati wa Maadamano yalitotokea maeneo ya Lamadi, Agosti 21, 2024 Mkoani Simiyu.
 
Ningekuwa mzazi nisingetaka barozi wa nyumba kumi, mtendaji wa Kijiji, DC ama RC waonekane eneo la tukio nisingetaka kabisa
 
Huyu DC ndio Jana akisema hakuna kifo au ni mwingine?
 
Back
Top Bottom