Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 3,984 Reaction score 13,760 Aug 23, 2024 #1 Your browser is not able to display this video. Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim ameta pole kwa familia ya Mzee Daudi ambayo imempoteza mtoto wao, Meshaki Daudi aliyefariki kwa kupigwa risasi wakati wa Maadamano yalitotokea maeneo ya Lamadi, Agosti 21, 2024 Mkoani Simiyu.
Your browser is not able to display this video. Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim ameta pole kwa familia ya Mzee Daudi ambayo imempoteza mtoto wao, Meshaki Daudi aliyefariki kwa kupigwa risasi wakati wa Maadamano yalitotokea maeneo ya Lamadi, Agosti 21, 2024 Mkoani Simiyu.
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Aug 24, 2024 #2 Ningekuwa mzazi nisingetaka barozi wa nyumba kumi, mtendaji wa Kijiji, DC ama RC waonekane eneo la tukio nisingetaka kabisa
Ningekuwa mzazi nisingetaka barozi wa nyumba kumi, mtendaji wa Kijiji, DC ama RC waonekane eneo la tukio nisingetaka kabisa
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Aug 24, 2024 #3 Huyu DC ndio Jana akisema hakuna kifo au ni mwingine?