Kwanza naanza kwa kumpa sifa Mungu wetu muweza wa yote kwa kutuepushia mbali na upepo wa Jobo Tanzania ni salama
Kama kichwa cha habari kinavoeleza mkuu wa Wilaya ya Iringa ndugu Richard Kasesela akiwa anaendelea kuongea na madereva bajaji katika mkutano huo, Mkuu huyu wa wilaya alisikika akimuambia mmoja wa dereva aliyeudhuria huo mkuatano “ TULIZA MATAKO YAKO WEWE”
Waandishi sote tulibaki mdomo wazi na kufanya mkutano huo wa Mkuu wa Wilaya na madereva bajaji kuishia hapo. Video itawajia punde
Kasesela alipata kiki alipokuwa anamtukana Msigwa. Sasa hivi Msigwa hayupo ameanza kutukana madereva bajaji.
Asichokijua Kasesela ni kuwa kugombana na madereva bajaji ni sawa na kugusa mboni ya mbunge wa Iringa mjini Jesca Msambatavangu.
Juzi Jesca alipambana na Kasesela na RPC hadi vijana wa bajaji wakarudi barabarani.
USHAURI WANGU: Iringa bado ni mji mdogo sana wawaache vijana wajiajiri ikiwemo kuendesha bajaji. Abiria ndio achague apande bajaji au daladala. Pia Iringa foleni hamna sijui KASESELA ANAWASHWA NA NINI?
Kweli ,eneo gani utamke mana nikiungo kinafichwa na nguo kama tatu,nazo ni chupi,taiti ,gauni/penzi au suruali hivyo nivema likatamkwa faraghani(muktadha uzingatiwe)
Kweli ,eneo gani utamke mana nikiungo kinafichwa na nguo kama tatu,nazo ni chupi,taiti ,gauni/penzi au suruali hivyo nivema likatamkwa faraghani(muktadha uzingatiwe)
Hakuna tusi hapo, nikiungo cha binadamu wa jinsia zote wanazo, ingelikuwa ametaja kiungo cha jinsia nyingine kwa mtu wa jinsia nyingine tungesema amemtukana.