Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari

Status
Not open for further replies.
Mama Samiha Rais wetu nakuomba sana najuwa huwezi kusoma lakini kama utapitia basi tuwekee viongozi wenyewe weledi sio makada tuwekee safu mpya ya wakuu wa wilaya na Mikoa na vijana wapunguze sana weka watu wazima wastarabu vijana ni matusi na mabega yamefika juu, huwezi kuwa kiongozi ukatumia lugha chafu hata ukitukanwa na watu ndio maana wewe kiongozi yule ni mwananchi tu.
 
Msameheni tu

Ova
 
Hiyo ndiyo legacy ya mwendazake aliyotuachia. Huko Temeke MD naye ameshatumbuliwa na anachunguzwa. Huyu ndiyo ilikuwa hazina ya mwendazake maana hata mkopo wa bank walikula huko Temeke halafu yule Mbunge mweupe akaomba kwa Mwendazake eti wasamehewe. Makubwa yanatisha kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom