Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari

Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari

Status
Not open for further replies.
Nipo vibanda vya CCM Iringa jamaa kampiga dongo mwenzie eti acha kufikiri kwa kutumia Kasesera
 
Yoda acha unafiki,mbona Magufuli alivyotukana wananchi kuwa wabaki na mavi yao nyumbani hakuingia matatani?Una kibri pamoja na ujinga wa double standard?
 
Hawa watu wa ccm yaweza kuwa kibri tu mkuu
Mkuu, ukiangalia vizuri hiyo lugha ya mwili, mtizame usoni, huyo ameutwika, ni kwamba walimkurupusha kwamba kuna hilo jukumu la kutatua kwenye eneo lake la kazi, hakuwa amejiandaa.
 
Lugha ya mwili inaeleza kwamba mhusika alilewa huku akiwa frustrated, angekuwa amelewa na hayuko frustrated huenda angeongea neno la kichekesho lakini sio neno kali/tusi.
 
kuna muda watu wanakera sana.
ndio maana mwingine aliambiwa asiende kazini na mavi yake.

jitu unajaribu kulisaidia kwa namna linayotaka ila ndio kwaanza makelele mtindo mmoja.
ilifaa mwandishi atuonyeshe huyo jamaa mwenye matako yako[emoji28][emoji28][emoji28].
Hakuna marefu yasiyo na ncha, aendelee kutukana tu, mama ana taarifa zake, atapata majibu kwenye teuzi za ma DC na RC soon..hata huyo aliyemtukana mzee mtu mzima abaki na mavi yake, yuko kaburini huko
 
ndugai alimzima mtu na fimbo ya kichwa,next month akawa speaker.

kuna wakati yafaa nawewe na uzee huo uwe unawaelewa ccm,usiwe kama nyumbu wengine.
Kwahio kumbe mnasapoti huo ukumanina ..ndugai wako siku zake zinahesabika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom