Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Kwa mwendo huu ongezeni kasi ya kujenga mahabusu, magereza na bajeti ya kuwalisha wa tz.Kamata hao wahalifu wakatiwe adabu kuchekea upuuzi kama huu haikubaliki..
Polisi wawasake wote waliohusika.
Hana kwani mwenyekiti wa Kijiji kachaguliwa na wananchi hivyo ni mkutano mkuu wa Kijiji tuu ndiyo wenye uwezo wa kuazimia kwamba hawamtaki na sababu za kumkataa.Mkuu wa wilaya ana mamlaka ya kumsimamisha kazi mwenyekiti wa kijiji?
Hata mimi najiuliza, ni sawa useme mbunge asimamishwe kazi na mkuu wa wilaya.Mkuu wa wilaya ana mamlaka ya kumsimamisha kazi mwenyekiti wa kijiji?
Labda Atakuwa amemsimamisha kuhudumu masuala ya ulinzi na usalama nje kijiji chake! Maana DC ndiye mwenye zamana wa jambo hilo wilayani.Hii hatari sana, mwenyekiti amechaguliwa na wananchi, mkuu wa wilaya ni mteule wa rais kuna shida sehemu
Walikupiga mawe baada ya kuona unamtetea mwenyekiti wa wilaya.Mkuu wa wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ,Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji ,Ngarama Mapema Kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhamasisha wananchi kushambulia Kwa mawe msafara wake na kuvunja vioo vya magari likiwemo gari lake la ofisini.
Na mimi nimejiuliza hiyo power ya kutengua mwakilishi wa wananchi kaitoa wapi? Labda atakuwa Mtendaji wa Kijijiji na siyo Mwenyekiti wa kijiji!Hii hatari sana, mwenyekiti amechaguliwa na wananchi, mkuu wa wilaya ni mteule wa rais kuna shida sehemu
Mkuu wa wilaya ana mamlaka ya kumsimamisha kazi mwenyekiti wa kijiji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona dc hajapiga selfie na mawe yalihyo hewani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wamasai wa siku hizi wamechakachuliwa kabisaaa.... Haiwezekani Mmasai kukosa shabaha hadi mawe yamkose mkuu wa wilaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana mamlaka hayo , Huyo DC itakuwa hajitambui na haelewi mipaka yao.
Ndio tabu ya kuteua hovyohovyo unapata maviongozi ya hovyo kama hilo li Dc, ni lipumbavu sana
Wenyeviti walipitishwa kimabavu na wabunge,wapambane na hali zaoMkuu wa wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ,Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji ,Ngarama Mapema Kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhamasisha wananchi kushambulia Kwa mawe msafara wake na kuvunja vioo vya magari likiwemo gari lake la ofisini.
Akitoa ufafanuzi Mbele ya waandishi wa habari ofisini kwake , Mwaisumbe alisema kuwa Septembe 24 mwaka huu akiwa na kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo wakienda katika kijiji hicho Kwa lengo la kubaini tuhuma mbalimbali za ubadhilifu wa fedha zinazomkabili mwenyekiti huyo.