Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Kwa mwendo huu ongezeni kasi ya kujenga mahabusu, magereza na bajeti ya kuwalisha wa tz.Kamata hao wahalifu wakatiwe adabu kuchekea upuuzi kama huu haikubaliki..
Polisi wawasake wote waliohusika.
Huishi huko, huwezi hukumu kwa stori ya mtu mmoja
Kama wazili alibebewa bango akatoa ufafanuzi, yawezekana tatizo sio wanainchi
Utambue hata viongozi hukosea