Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Asante sana mkuu nimekusoma vizuri sana......salute....mseveni na Kagame ni marafiki wakubwa wa magu hivyo lazima a-copy mengi toka kwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu nimekusoma vizuri sana......salute....mseveni na Kagame ni marafiki wakubwa wa magu hivyo lazima a-copy mengi toka kwao.
kwa hiyo CDM wakikosea na ccm nao wakosee?Kabla hatujamwangalia Happy tuanze na Rose Kamili, Atropia, Ruth Mollel ............
Uwezo gani? Alishindanishwa na nani hadi uwezo wake ukazidi wengine? Jopo gani lilikaa kumfanyia interview? Hii inaitwaunakosea hajachaguliwa kwa undugu, uwezo wake ndo uliomfanya achaguliwe ana uwezo sana tangu akiwa TANROADS
Kwa hiyo mnataka ndugu wa viongozi waachwe hata kama wana sifa stahiki..??H
hakuna shida mkuu isipokuwa kuleta undugu kwenye kazi napo hupunguza ufanisi Nadhani ulijifinza Kipindi cha Kikwete alijaza Ndugu na marafiki uliona nini kilitokea .
Hapa tunajadiliana na watu ambao hawana hata ABC ya uongozi. Ni watu waliojaa mahaba na mapenzi kwa chama. Ninyi hamna msaada kwa Taifa.
Watu wamebaki kwa kusema mbona
utawala uliopita ulimweka fulani na fulani, wanachoshindwa kujua ni kuwa binadamu yeyote mwenye akili hatafuti kushindanishwa katika uovu. Halafu kuna hoja za kijinga kabisa kuwa mbona
Ridhiwani alikuwa mbunge. Lakini Ridhiwani hakupewa ubunge na Baba yake bali alichaguliwa na wananchi. Huyo dada
angekuwa amepata nafasi kwa kuchaguliwa na wananchi, kusingekuwa na hoja. Kama huyo binti angekuwa kwenye nafasi ya
kitaalam kusingekuwa na shida. La
kini yeye amepewa nafasi ya kisiasa na mtu mwenye maslahi naye, ambaye kwa vyovyote vile au uteuzi wake, au mwenendo wake, au hatua dhidi yake au maumuzi
yoyote dhidi yake, yanaweza kuathiriwa n
a mahusiano ya kifamilia.
Kama ni kweli haya yanayotamkwa, basi huyu atakuwa ndiye kiongozi wa kwanza
Tanzania kumteua mwanafamilia kwenye nafasi ya kisiasa.
Ni kweli kabisa ndugu za viongozi wanatakwa wahudumu katika sekta binafsi lakini kutokana na changamoto za ushindani zilivyo katika sekta binafsi wengi hawataweza kuhimili hiyo mikimiki. Ukianza kuangalia njia za kimaisha alikopita huyo muhusika lazima mkono wa mzee uwepo na hakuweza kuhimili mikimiki ya ushindani.Hivi kwanini hawa viongoxi haws wakubwa wa nchi wasiwatafutie kazi kwenye sekta binafsi badala ya kuwajaza serikalini ili kuondoa conflict of interest na mslalamiko km hisia mbaya? Magufuli hapa kashindwa kujiyofautisha na wenzake!
Haina maana kama atafanya lakini ikitokea akafanya itakuwaje? Kwenye conflict of interest tunaangalia "worst case scenario"we nae unamsemea kama nani?? we umejuaje kama atafanya ndivyo sivyo?? unauhakika gani kama atadhulumu?? tupunguzeni wivu acheni watu wafanye kazi
Kati ya raisi na binti yake, au raisi na binti yake ni watu watatu?Mkuu inabidi urudi darasani hujui nini maana ya conflict of interest. Mkuu wa wilaya ni mwakilishi wa rais wilayani. Unapozungumzia conflict of interest always Ina involves two parties. Sasa hiyo conflict of interest ni Kati ya Nani na nani
A young and highly educated aggressive lady, we need such educated girls, what is required is qualification na uchapa kazi. Lots of cograts for her and wish her much more in future, siyo kama wale waliokuwa wanapewa vibarua bila sifa and to make worst with fake certificates(PhDs or so mifano ipo the former CEO of NACTE). Once again hongera sana zake.Mara baada ya uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliofanyika na kutangzwa leo, jamii imeanza kuwachambua na kujuwa historia zao na ushiriki wao katika kumasaidia kazi Mh Rais.
Wananchi wamekuwa na shauku ya kumfahamu na kuelewa historia ya Mkuu wao mpya wa Wilaya Mh. Happy es Senenda William. Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura
Habari zinazidi kupenyeza kuwa Mh.Happyness William ni mtoto wa kulelewa na Rais JPM, amesomeshwa na Rais na amekuwa akiishi na JPM kwa maisha yake mpaka alipopata kazi. Kifupi Mh.Happyness ni "mtoto" wa JPM na kwa sasa ni DC wa Kisarawe
Ama hakika huu ni msimu wa vijana...Vijana mjiibidishe ili muonekane na mpate Wilaya au Mkoa.
Bavicha hapa sijui wanapaona?Kabla hatujamwangalia Happy tuanze na Rose Kamili, Atropia, Ruth Mollel ............
Nadhani aliyeteuliwa anajuwa kuandika, hawezi kuandika APA kazi tuu ila ni HAPA kazi tuuAPA kazi tuu
Alipambana vipi????????????????? ushabiki shida snHongera sana kwa huyo mh. mkuu wa wilaya ya kisarawe ana juhudi sana na hakati tamaa mapema ndo maana alipokosa viti maalum bado alikuwa anapambana hvyo hvyo