Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Watanzania kwanini tunafuatilia waluoteuliwa sana? Jana tu humu kuna bandiko RAIS MAGUFULI NA MFUMO KRISTU. alipost assadsyria!!! Leo tena nakuta kundi la WAMASAI mjini wanalalamika hakuna hata mkuu wa wilaya mmoja Mmasai!! UKABILA, UDINI NA UNDUGU utatupeleka wapi? Nafasi zenyewe za uteuzi ni chache.
 
unakosea hajachaguliwa kwa undugu, uwezo wake ndo uliomfanya achaguliwe ana uwezo sana tangu akiwa TANROADS
Uwezo gani? Alishindanishwa na nani hadi uwezo wake ukazidi wengine? Jopo gani lilikaa kumfanyia interview? Hii inaitwa
conflict of interest. Nilidhani mh atajitofautisha na wengine kumbe ni yaleyale. Amekuwa anawawalsumu sana wenzske kumbe naye ni walewale!
 
H
hakuna shida mkuu isipokuwa kuleta undugu kwenye kazi napo hupunguza ufanisi Nadhani ulijifinza Kipindi cha Kikwete alijaza Ndugu na marafiki uliona nini kilitokea .
Kwa hiyo mnataka ndugu wa viongozi waachwe hata kama wana sifa stahiki..??
 
Hivi kwanini hawa viongoxi haws wakubwa wa nchi wasiwatafutie kazi kwenye sekta binafsi badala ya kuwajaza serikalini ili kuondoa conflict of interest na mslalamiko km hisia mbaya? Magufuli hapa kashindwa kujiyofautisha na wenzake!
 
Mimi sioni ubaya wa huo uteuzi. Kama mwaka 2010 alijitokeza kugombea ubunge akakosa inaonyesha kumbe ana mapenzi na siasa na uongozi. Kama wengine waliogombea ubunge wakakosa kama kina Kasesela na Gondwe wameteuliwa ukuu wa wilaya kwa nini huyu dada asiteuliwe? NI kweli hana sifa zinazotakiwa kwenye hiyo nafasi? Akose uteuzi kwa sababu tu ni mtoto a Rais? Aaahirishe harakati zake za siasa kwa miaka 5/10 mpaka baba yake mlezi amalize muda ake? Na akiteuliwa baada ya baba yake kumaliza muda hamtasema amependelewa kwa sababu ni mtoto wa kigogo? Dalili za wivu zipo maana kuna mtu hata kaponda kiwango chake cha elimu - master siyo msomi!
 
dah hata tukijadili huku yeye ndo ashakua mkuu wa wilaya hivyo hakuna namna
 
isupilo
Hapa umechanga vinywaji asee!! Juu ulieleza vema sana hapo mwishoni umechukua mango juice na kimpumu uka_mix kuondoa uhalisia ulichoandika juu!!.

"...Ama hakika huu ni msimu wa vijana...Vijana mjiibidishe ili muonekane na mpate Wilaya au Mkoa..."
 

Brilliant. Nadhan wamekuelewa!
 
Hivi kwanini hawa viongoxi haws wakubwa wa nchi wasiwatafutie kazi kwenye sekta binafsi badala ya kuwajaza serikalini ili kuondoa conflict of interest na mslalamiko km hisia mbaya? Magufuli hapa kashindwa kujiyofautisha na wenzake!
Ni kweli kabisa ndugu za viongozi wanatakwa wahudumu katika sekta binafsi lakini kutokana na changamoto za ushindani zilivyo katika sekta binafsi wengi hawataweza kuhimili hiyo mikimiki. Ukianza kuangalia njia za kimaisha alikopita huyo muhusika lazima mkono wa mzee uwepo na hakuweza kuhimili mikimiki ya ushindani.
 
we nae unamsemea kama nani?? we umejuaje kama atafanya ndivyo sivyo?? unauhakika gani kama atadhulumu?? tupunguzeni wivu acheni watu wafanye kazi
Haina maana kama atafanya lakini ikitokea akafanya itakuwaje? Kwenye conflict of interest tunaangalia "worst case scenario"
 
Mkuu inabidi urudi darasani hujui nini maana ya conflict of interest. Mkuu wa wilaya ni mwakilishi wa rais wilayani. Unapozungumzia conflict of interest always Ina involves two parties. Sasa hiyo conflict of interest ni Kati ya Nani na nani
Kati ya raisi na binti yake, au raisi na binti yake ni watu watatu?
 
A young and highly educated aggressive lady, we need such educated girls, what is required is qualification na uchapa kazi. Lots of cograts for her and wish her much more in future, siyo kama wale waliokuwa wanapewa vibarua bila sifa and to make worst with fake certificates(PhDs or so mifano ipo the former CEO of NACTE). Once again hongera sana zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…