Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Usimalizie hapo mwambie akaone huko kwa malaika ukawa kukoje mpaka mke wa Lowasa kwa busara zake na ukomavu alikataa ubenge wa viti maalum.
 
ha ha ha mtoto katoka udom juzi tu ameshapanda hadi kuwa regional h.r manager....

mimi kwenye ukuu wa wilaya sijashangaa sabab ni kuteuana tu.. hata demu wako au msela wako unamteua tu ukiwa rais..

ila hiyo ya kuwa h.r manager tanroads wa mkoa wa tanga baada ya kutoka udom juzi juzi hapo ngumh kumeza

 
Ni shedah, undugulization

ni kawaida tu, pale BOT wapo watoto wa vigogo... rais alitoa matamko makali kumbe na yeye ni walewale!.

Kesho waziri wake nae akiteua ndugu yake ataweza hata kumuhoji kama yeye keshaanza kuonyesha mfano mbaya?

mfano mbaya ktk uongoz

inawezekana hata huko TANROAD alipelekwa na baba mlezi....

khs vigezo vyake sina tatizo.. hoja je ktk utendaji wata declare conflict of interest ktk kutoa maamuzi?


kizaz cha sasa cha kurithishana madaraka.
 

kuteua wakuu wa wilaya huwa wanashindanishwa?
 
Kwa hiyo mnataka ndugu wa viongozi waachwe hata kama wana sifa stahiki..??
Kuna gharama ya kuwa kiongozi. Ukiwa kiongozi kama siyo mfalme huwezi kumweka mwanafamilia kwenye nafasi za uteuzi wa uongozi wa kisiasa, ni big NO. Kama ni professional, mwanafamilia atafanya kazi za ujuzi wake. Kama ana uwezo wa uongozi wa kisiasa, aende akapigiwe kura na wananchi lakini siyo kuteuliwa na Baba. Ni ukosefu mkubwa wa kimaadili. Hatuna Rais aliyewahi kufanya hivyo. Kama ni kweli, basi huyu wa sasa atakuwa wa kwanza.
 
Ngoja na mimi naenda mahakamani kuapa na kubadili jina kuanzia sasa nataka nitambuliwe kama Ngongo Pombe Magufuli halafu nikipewa shav na Baba wa kufikia sitaki kusikia kelele zenu.
 
Afrika sio kitu kigeni hicho,kuna yule kachagua mke kuwa waziri kuna yule kachagua mtoto kuwa makamu kuna yule kachagua mtoto kuwa waziri wa mambo ya ndani ili aje awe mwenyekiti wa tume, sasa huyu wetu yeye kachagua mtoto kuwa DC. Kiafrika sishangai maana naona hatuna viongoz bali watawala tu
 
Kwahio kama amemlea na anazo sifa za kuteuliwa basi aachwe?
Hajasema hivyo yeye alikuwa anatupa tu taarifa tumfahamu vizuri. Hilo la kuwa aachwe au ateuliwe linabaki kwetu wananchi na wachambuzi baada ya kupata taarifa hizo. Kwa maana ya kwamba ukiacha "who knows what?" je hakuna kasababu kengine ka "who knows who?" katika teuzi kama hizi?!
 
Hivi huwa ni dhambi kumwajiri ndugu yako hata kama elimu yake ni bora,uwezo wake uko juu,na sifa zake kiutendaji ziko wazi wazi !!!!!!
 
Habar ipo km unataka kujua.....ila kiundani zaid ni kuwa mwandish unaeneza chuki za kitoto sana?ok lets assume angekuwa wake wa kumzaa..kosa lake nn hapo?kabla hujasema kuwa ni "nepotism" jalib kulielewa neno vema
Hivi kwa mfano hapa kuna chuki gani zimeenezwa?Kusema huyu ni "mtoto" wa kumlea na kumsomesha ni kueneza chuki?

Chuki ingekuwa nachosema si kweli,lkn ninachosema ni kweli tena kweli kabisa,na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Hapo kazi ipo. Hata kama kampuni yangu ndio iliyokizi vigezo isipate tender?
Kampuni yako na wewe ndiye mwenye mamlaka ya kuamua mzabuni, hiyo kampuni itakosaje vigezo sasa!
Ni sawa na kufanya mtihani ulioutunga mwenyewe!
Labda uwe chizi ndio utafeli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…