Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,054
- 4,604
Usimalizie hapo mwambie akaone huko kwa malaika ukawa kukoje mpaka mke wa Lowasa kwa busara zake na ukomavu alikataa ubenge wa viti maalum.Neno conflict of interest hutumiwa ktk mazingira kama haya!
Ni kama issue za tenders, huwezi kuipa tender kampuni yako, au kumfanyia interview mwanao!
Anyway Magufuli sio wa kwanza!
Nyerere alikuwa na ndugu Kibao ktk uongozi! Mkapa alikuwa na washkaji wa kutosha, the same kwa kikwete ambaye hata ndugu walikula position!
Si sawa Ila alichofanya is not uncommon!