Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Mara baada ya uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliofanyika na kutangzwa leo, jamii imeanza kuwachambua na kujuwa historia zao na ushiriki wao katika kumasaidia kazi Mh Rais.

Wananchi wamekuwa na shauku ya kumfahamu na kuelewa historia ya Mkuu wao mpya wa Wilaya Mh. Happynes Senenda William. Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura

Habari zinazidi kupenyeza kuwa Mh.Happyness William ni mtoto wa kulelewa na Rais JPM, amesomeshwa na Rais na amekuwa akiishi na JPM kwa maisha yake mpaka alipopata kazi. Kifupi Mh.Happyness ni "mtoto" wa JPM na kwa sasa ni DC wa Kisarawe

Ama hakika huu ni msimu wa vijana...Vijana mjiibidishe ili muonekane na mpate Wilaya au Mkoa.

'mtapata taabu sana'
 
Huuu n uwongo mkubwa huyo binti namkumbuka wakati akinuka maziwa pale hostabei nilimpiga sanaa makofi na kumvusha barabara pale st peter
 
Wavimba macho mshaanza, hata kama ni mtoto wa kulelewa na President ndio anakosa sifa ya kuteuliwa kuwa kiongozi? Acha wivu pambana na hali yako
 
Mkuu Maxence Melo lile tatizo ndo hapa linaonekana. Huu uzi ni wa kitambo na siwezi kujia Comments mpya zilizoufukua zinaanzia wapi na utaona wachangiaji wanavyopotoka kiuchangiaji.

Tafadhali kila Reply ionekane muda wake kama zamani.
 
Je kunaubaya wowote kuhusu hilo? Kila mtanzania mwenye sifa anayo haki ya kuchaguliwa/kuteuliwa kuwa kiongozi haijalishi ni mtoto wa nani ama mke wa nani
 
Happy alikuwa Kisarawe hajapangiwa

Hapi alikuwa Kinonondoni,ndo huyo Kawa mkuu wa mkoa Iringa

Ni watu wawili tofauti
Amepangiwa ukatibu tawala mkoa nadhani Iringa kama si Njombe.
 
Usigeuze JF kuwa chungu cha majungu! Ongelea uwezo wake, sio uhusiano wake...ungejisikiaje kama ungekuwa wewe unaomba kazi sehemu afu unanyimwa simply because wewe una undugu na rais...tuletee CV na track record ya performance sio mijungu
Yah right ....!!

Labda ni coincidence. Baba Waziri wa Ujenzi mwana HR Tanroads. Baba Rais mwana Mkuu wa Wilaya.
 
Watanzania hebu acheni majungu, guys majungu hayajengi fanyeni kazi kujikwamua na maisha mmekalia kuchunguza mambo ya kijingajinga tu
 
Mkuu Maxence Melo lile tatizo ndo hapa linaonekana. Huu uzi ni wa kitambo na siwezi kujia Comments mpya zilizoufukua zinaanzia wapi na utaona wachangiaji wanavyopotoka kiuchangiaji.

Tafadhali kila Reply ionekane muda wake kama zamani.
Tatizo labda ni la simu yako,reply zote zinaonekana ni za muda gani angalia kuanzia post #426
 
Mkuu Maxence Melo lile tatizo ndo hapa linaonekana. Huu uzi ni wa kitambo na siwezi kujia Comments mpya zilizoufukua zinaanzia wapi na utaona wachangiaji wanavyopotoka kiuchangiaji.

Tafadhali kila Reply ionekane muda wake kama zamani.
Mbn mm naona post yako n ya 3 hrs ago!
 
Mara baada ya uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliofanyika na kutangzwa leo, jamii imeanza kuwachambua na kujuwa historia zao na ushiriki wao katika kumasaidia kazi Mh Rais.

Wananchi wamekuwa na shauku ya kumfahamu na kuelewa historia ya Mkuu wao mpya wa Wilaya Mh. Happynes Senenda William. Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura

Habari zinazidi kupenyeza kuwa Mh.Happyness William ni mtoto wa kulelewa na Rais JPM, amesomeshwa na Rais na amekuwa akiishi na JPM kwa maisha yake mpaka alipopata kazi. Kifupi Mh.Happyness ni "mtoto" wa JPM na kwa sasa ni DC wa Kisarawe

Ama hakika huu ni msimu wa vijana...Vijana mjiibidishe ili muonekane na mpate Wilaya au Mkoa.
Kama ni kweli haijakaa vizuri,ila mbona Kikwete alikuwa zaidi,na hata Muzeveni naye alimchagua mkewe kuwa Waziri.Isitoshe Trump alimchagua Jared Kushner mme wa Ivanka Trump ambaye ni mkwewe, kuwa mshauri wake mkuu.Mimi nadhani tusiyafuate sana haya mambo hatutayaweza,tuombe tu Mungu awe mtendaji mzuri.
 
Last edited:
Back
Top Bottom