Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Kama anazo sifa kwa ni sawa, pia punguza wivu wa kipuuzi ulitaka asimteue kwa sababu ni Mwanae? Ulitaka nani ateuliwe? Punguza wivu!
 
naipenda sana jamii forum kwa mambo yake hakuna lisilo wezekana hapa,, tunachambua kwa uwazi,, naona vijana wa facebook mmeibukia huku,, ukweli ni kuwa huu undugu ni mbaya sana kwa manufaa ya taifa hili sikutegemea mzee wa mizuka amchukue na huyo binti wa udom
kwani udom kuna nin?
 
hakuna tatz lolote kama mtu ana sifa sio tatizo, na jpm hapangiwi ni raisi anamamlaka yote
 
Ni shedah, undugulization

Masikini timu Lowassa. uDC wataendelea kuusikia tbc tu. Kweli maisha ni gambling. Kumlamba sana miguu Edward ilikua uwekezaji mbovu. Mnaomchukia JPM mtapata taabu thana! Hongera Jokate waache waseme donge limewajaaa.....
 
Mkuu Maxence Melo lile tatizo ndo hapa linaonekana. Huu uzi ni wa kitambo na siwezi kujia Comments mpya zilizoufukua zinaanzia wapi na utaona wachangiaji wanavyopotoka kiuchangiaji.

Tafadhali kila Reply ionekane muda wake kama zamani.
Mbona sie wengine tunaziona tarehe za post?
Post mpya imeanzia #426 page iliyopita kabla ya hii yako uliyoweka hapa
 
Hata angekuwa mwanawe wa kumzaa kama ana vigezo na Rais anaona anaweza zaidi kumsaidia kutimiza malengo yake katika kuitimiza ilani
 
Write your reply...
Rift hupewa mtu aliye barabarani Huyu Dada sifa anazo so asiajiliwe kwasababu amelelewa na Rais
 
Hivi kwenu sifa si anazo? Charity starts at home. Sioni tabu kwa kuwa hakumbeba ila anastahili.
 
Back
Top Bottom