Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Nyerere yani waliopokea akiwa kavaa kaptula badae akasema hvyo... daaah ! wana dar in sahihi ?
cc Pasco Mohamed Said Ritz FaizaFoxy
Remote,
Suruali kipande kama wazee walivyoziita wakati ule lilikuwa
vazi rasmi la kazi.

Waingereza wakivaa kaptula kwa kwendea kazini na stocking
halikadhalika hata Waafrika wakivaa kaptula.

katika watu waliokuwa wakivaa kaptula hapa Dar es Salaam
alikuwa Mohamed Aboud maarufu kwa jina la Aboud Mfaransa.

Yeye alikuwa ndiyo mkubwa wa Audit and Exchequer.

Baba yangu akivaa kaptula na Abdul Sykes ndiyo ilikuwa sare
yake pale Kariakoo Market kama Market Master.

Wasomo wengi wa wakati ule wa wakipenda kuvaa kaptula.
 
Usigeuze JF kuwa chungu cha majungu! Ongelea uwezo wake, sio uhusiano wake...ungejisikiaje kama ungekuwa wewe unaomba kazi sehemu afu unanyimwa simply because wewe una undugu na rais...tuletee CV na track record ya performance sio mijungu
mkuu mbona kataja sifa zake zote na wala hamna alikomponda sanasana akawahimiza vijn waige mfano wakujitahidi ili nao one day waje wafikie uko
 
Bora kuliko wafanyakazi hewa, sioni shidsa, mleta mada hivi unataka kusema ndg wa mh rais hawani fulsa za ajira?
 
Mara baada ya uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliofanyika na kutangzwa leo, jamii imeanza kuwachambua na kujuwa historia zao na ushiriki wao katika kumasaidia kazi Mh Rais.

Wananchi wamekuwa na shauku ya kumfahamu na kuelewa historia ya Mkuu wao mpya wa Wilaya Mh. Happynes Senenda William. Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura

Habari zinazidi kupenyeza kuwa Mh.Happyness William ni mtoto wa kulelewa na Rais JPM, amesomeshwa na Rais na amekuwa akiishi na JPM kwa maisha yake mpaka alipopata kazi. Kifupi Mh.Happyness ni "mtoto" wa JPM na kwa sasa ni DC wa Kisarawe

Ama hakika huu ni msimu wa vijana...Vijana mjiibidishe ili muonekane na mpate Wilaya au Mkoa.
Asante sana kwa taarifa. Hiyo aya yako ya mwisho nimeielewa vizuri sana.
 
Duuuu ... Mweeee
Mimi nilifikiri ni Mtoto wa Kumzaa au wa Nyumba ndogo aka Mchepuko. Kumbe ni Mtoto wa kumlea. Kikubwa hapo kiwe je ana Sifa za kuteuliwa?
 
in the spirit of Good Governess he could avoid that...anyway am not impressed by the way we get our area commissioners...the process is flowed and wickedly subjective
 
nadhani huu uteuzi na nyinginezo rais hafanyi peke yake. wapo wanaomshauri na kupendekeza appointees. hivyo kama utaratibu huo ulizingatiwa well and good. by the way napongeza sana mamlaka za uteuzi kwa kua na imani na sisi vijana. inaonesha kua vijana pia tunanafasi katika taifa letu. ni wajibu wa walioteuliwa kutuwakilisha vyema.
 
Katika sifa zilizowekwa kwenye hii post ni ipi hiyo inayompa huyu dogo sifa ya kuwa mpiganaji? Ni hiyo kufanya kazi tanroads au ni hiyo ya kuwania viti maalum?

Je mchakato wa selection kwenye hiyo position aliyokuwa nayo huko 'tanroads' ulikuwagaje? Hivi ni nani aliyekuwaga na dhamana na 'tanroads'? Embu msituchoshe na haya mautetezi yenu yasiokuwa na mantiki!

Kama hauoni qualification zake ni shida hata kuargue na mtu hasiyeona. Jenga CV yako tu na utaonekana na utaweka sehemu sahihi. Kulalamika bila hatua haitakaa ikusaidie. Uzuri bado tunafuata kwa kaisi Fulani Meritocracy system ingawa kunaweza kuwa pia na Favouritism but kama ubebeki hutapewaje nafasi?
 
Kama ni mwanaye, amesoma vizuri na amewahi kuwa Meneja wa Taasisi kubwa kama TANROADS basi hata huo Ukuu wa Wilaya aliompa ni cheo kidogo, angempa tu hata ukatibu mkuu. Si ana sifa jamani
Kumbe zile kelele zote za watoto wa vigogo kuajiriwa kwenye taasisi kubwa kama Benki Kuu hazikuwa na mshiko kama sifa wanazo! Sijui kwa yule kijana wake wa UDOM, naambiwa yeye eti hakuwa na sifa...!
 
Mara baada ya uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliofanyika na kutangzwa leo, jamii imeanza kuwachambua na kujuwa historia zao na ushiriki wao katika kumasaidia kazi Mh Rais.

Wananchi wamekuwa na shauku ya kumfahamu na kuelewa historia ya Mkuu wao mpya wa Wilaya Mh. Happynes Senenda William. Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura

Habari zinazidi kupenyeza kuwa Mh.Happyness William ni mtoto wa kulelewa na Rais JPM, amesomeshwa na Rais na amekuwa akiishi na JPM kwa maisha yake mpaka alipopata kazi. Kifupi Mh.Happyness ni "mtoto" wa JPM na kwa sasa ni DC wa Kisarawe

Ama hakika huu ni msimu wa vijana...Vijana mjiibidishe ili muonekane na mpate Wilaya au Mkoa.
Tatizo lako nini haswa? Usipojiangalia utapata kisukari mkuu
 
Mimi nilitarajia kuona kama hana sifa za kutofaa kushika nafasi hiyo, kama ana sifa stahili, hata kama angekuwa mtoto wa kuzaliwa na Mhe. Rais hakuna tatizo lolote.
 
Tanzania tuko kwenye dunia ya pekee yetu!!! Hivi ukuu wa mkoa au wilaya unahitaji taaluma au uwezo!!! Nchi ya akina majimarefu (mazingaobwe). Eti wakurugenzi waliofanya vizuri wamepandishwa kuwa wakuu wa wilaya!!!
 
Back
Top Bottom