DOKEZO Mkuu wa wilaya mstaafu anaambiwa ajiongeze ili apewe mafao yake aliyofuatilia kwa miaka kumi sasa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
2015 MaDC waliambiwa na Baba Riz watafute hela kadri wawezavyo hata kwa kukopa ili kuhakikisha Chama kinashinda. Kwa ahadi kuwa baada ya Election serikali mpya itawajali kwa UDC na fedha kurudishwa.... Kilichojili ni vilio na kusaga meno...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apambane na hali yake tu, mwamhie hiyo ndiyo CCM aliyopambana kuiilinda kwa hali zote.
 
Nijuavyo madc hulipwa mpunga wao wote mara baada ya miaka mitano. So huyo alilipwa chake chote na huko alikmalizia hakukidhi mtakwa ya pensheni, so walimpa alichostahili.
Tatizo hapo madaraka hulevya.ile kutumia cruizer saana na kukaa viti vya mbele kila mahali huwafanya waamini hayo ndiyo maisha kumbe mapito. Msaidieni huenda akafanikiwa. Kuna mmoja alikuwa kwetu alikuwa msumbugu sana maofisini baada ya kustaafu. Daily anakuja na suti zake za kitambo kuomba kusaidiwa. Watumishi wa umma yafaa wajipange mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JK kidogo alikuwa na soni huyu wa sasa USO wa mbuzi mwanzo mwisho!
Jamaa atakua alikosea mahali na file lake limechafuliwa either alisaport upinzani somewhere au kuna kitu kimejificha mahali hajakisemamanake hata enzi za kikwete mapesa yalivyokua yanatoka nje nje vile alikosa kutakua na shida mahali
 
AACHE TU KWANI MSHAHARA SIO ALIKUWA ANAPOKEA? aache tu iwe donation yake kwa umma, si unataka ushauri ndio huo sasa
 
unaweza ongeza nyama kidogo kwenye hii story.mfano ni kitu gani ambacho wanadai kutaka kumsaidia.na ni mfuko gani wa hifadhi ya jami?.tawi gani?

Kama hutajali basi weka hata majina yake matatu hapa

aende kwa mkuu wa wilaya yake au kwa mkuu wa mkoa au mbunge(kama siyo upinzani) wake aeleze hiyo changamoto.au nyinyi watoto wake mmsaduie kuwasiliana na hao Dc au RC.

Hii inakatisha tamaa sana kwa wateule watiifu.
 
Ni Hazina Mkuu,kumsaidia kukokotoa upya ili apate stahiki zake...
Ushauri wako utazingatiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAO NDO WAMETUFIKISHA HAPA WACHA AISOME NAMBA
AKISOMA ZA KIRUMI AANZE ZA KIARABU, KICHINA, KIEBRANIA, NK

ALAF MWAMBIE ATANYOOOOOOOKA
YEYE NA CCM YAKE WAMEMINYA DEMOKRASIA MASHA MAGUMU NK
 
Acha nae aone joto ya jiwe.
Wakiwa madarakani Hawa watu Ni Kama nyangumi ndani ya bahari.
Hao jamaa wanaotaka kumtoa upepo washikilie hapo hapo.

Metina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…