Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Ohoooooo tunamlipa mshahara huyu ana maslahi yetu wananch lazima ajadiliwe mbwa huyu.ILA NAMSAMEHE MAANA YESU ALIPOPELEKEWA MWANAMKE ALIYEDHINI AKAWAAMBIA AMBAE HAJAWAHI TENDA HII DHAMBI AWE WA KWANZA KURUSHA JIWE!walitimua wote YESU AKAMWAMBIA YULE MWANAMKE AENDE ZAKE ILA ASITENDE DHAMBI TENA.Mheshimiwa acha uzushi haikuwa mchana ilikuwa usiku, yaonekana una ajenda ya siri hapo kuilazimisha JF kukuamini kuwa ilikuwa usiku wewe uko Tunduma mambo yametokea kwingine huo ni uzushi KWA NIABA YA MUHESHIMIWA MADAHA napenda kuudhihirishia umma wa Watanzania kuwa mambo yalitokea usiku na hakukuwa na swala la uzinzi Ahsanteni. Mwenye kuamini aamini asie amini ashikilie msimamo wake. Inauma watu wazima kujadili swala hili tujadili maendeleo na mazuri aliyokwisha tenda huyu Mheshimiwa.
juma madaha usirudie tena za mwizi arobaini yawezekana ndo kamchezo kako!!