Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

cha kujiuliza mbona haya mambo kipindi cha awamu ya 4 hayakuwepo,kwangu mimi pamoja na mapungufu yote yaliyofanyika awamu iliyopita,bado naona i awamu nzuri kuliko hii ya 5.
 
Nadhani wakati umefika Tanzania ijulikane kama nchi inayoendeshwa kwa mfumo wa chama kimoja
 
Back
Top Bottom