Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

Katika rasimu ya katiba ya Warioba hiki cheo kilionekana hakistahili. Kwa akili hizi na matendo inadhihirisha ukweli wa jambo hili.
 
1575806249600.jpeg
 
Haina haja angewaagiza waziongeze kabisa maana hata hazina tija
 
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa... Chanzo Mwananchi
Huyu atakuwa na akili za kipimo cha kijiko cha chai. Watu wa namna hii wanaokotwa wapi?
 
Huu upuuzi usivumiliwe kamwe! Katiba ipi inampa hayo mamlaka? CHADEMA msikae kimya hii nchi ni ya mfumo wa vyama vingi.
 
Bendera za CHADEMA zimesababisha mishahara ya wafanyakazi iziongezwe. Chama cha mapoyoyo (CCM) ni janga la taifa.
 
Huyu mkuu wa Wilaya ni Mzalendo kweli kweli.......
Inabidi apewe ata nafasi ya kua RC...Safi sana mheshimiwa DC. Tumechoka kua na chama cha kulalamika huku kikiwa kinafanyiwa ujinga na wajinga. HONGERA SANA
 
Matamko yasiyo kwisha kwa tania hiyo ndyo maana chadema wanashangilia kuwa serikali hailali kwa sababu ya mambo Kama hayo sasa bendera za chama zimemuuzi nn puuuuuuum
 
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa... Chanzo Mwananchi
Watu wa kusini na hasa huko sumbawanga ni WAJINGA na WACHAWI

Ndio maana wana shida sana kila mahala ni vumbi vumbi na vibuyu.

Wataendelea kuburuzwa na CCM kizazi na kizazi.
 
Back
Top Bottom