Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

“Tutaufuta Upinzani kabla ya 2020”, alietoa hi kauli ni MSHAMBA na VIBARAKA nao ndio hapa WAPUMBAVU.
Badala yake wameutangaza Upinzani kwa kasi sana.
Mungu ni mwema wakati wote
 
Bado yupo gizani. Amejisahau kuwa yupo Africa.
 
Kama katamka hayo na ushahidi upo mpelekeni mahakamani, ndio dawa ya wavunja sheria. Acheni kulalamika tu

Huu ni ushauri sahihi kabisa, je mahakama kwa sasa ziko tayari kutoa haki kwa wapinzani? Mahakama zinaonyesha kujua wajibu wa kutoa haki bila kuwa na double standard?
 
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa... Chanzo Mwananchi
Naona ameamua kutangaza vita live
 
Ndani Ukiwaona Kama Watu Wa Maana
Siasa Siyo Uadui
 
Ishu arudi nyumbani akute familia na nyumba vimeteketezwa ndio ataelewa kuwa katangaza vita asioiweza
Hivi hawa vipi? Lakini tatizo ni Chadema pia kulea huu ujinga. Atoe hizo bendera pamoja na ushahidi wa amri yake wampeleke mahakamani. Waache kulialia tu
 
Hivi hawa vipi? Lakini tatizo ni Chadema pia kulea huu ujinga. Atoe hizo bendera pamoja na ushahidi wa amri yake wampeleke mahakamani. Waache kulialia tu

Habari imeandikwa na Mwananchi, wewe unasema chadema waache kulialia. Wamelia wapi? Au wewe ndio unalia.mnafeli wapi nyie MATAGA?
 
Chadema imepoa sana ilitakiwa kitendo cha kufanyiwa hivyo yeye na ofisi yake moto tuone kama serikali yenyewe haijawa na adabu
Hakika inashangaza sana kuona Mkuu wa Wilaya ambaye ni mlinzi wa amani anaagiza kuondolewa bendera za Chadema ktk Wilaya anayoitawala. Najiuliza baadhi ya maswali
1 Je Chadema sio chama halali
2.Hakiruhusiwi kuwa na bendera
3.Sheria inasemaje juu ya bendera za vyama
4 Je wafuasi wa Chadema wakiamua nao kushusha bendera za CCM nini kitatokea
5 Serikali inasemaje juu ya tatizo hilo.
Nashauri kama Rais anasema Watanzania tusubaguane kwa Itikadi vipi huyo Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga?
 
Bendera ziko mioyoni mwetu hayo mengine ni matambara tu.
Nguvu ya Umma itatalamaki tu.
Ndio ujinga wenu huo yani hapo mtalialia mkisubiri mabeberu wawapambanie nani kakuambia duniani huko una mjomba? Hao wanangoa ni wakuanza nao mkiua hata wawili hamtasikia huo ujinga tena
 
Hakika inashangaza sana kuona Mkuu wa Wilaya ambaye ni mlinzi wa amani anaagiza kuondolewa bendera za Chadema ktk Wilaya anayoitawala. Najiuliza baadhi ya maswali
1 Je Chadema sio chama halali
2.Hakiruhusiwi kuwa na bendera
3.Sheria inasemaje juu ya bendera za vyama
4 Je wafuasi wa Chadema wakiamua nao kushusha bendera za CCM nini kitatokea
5 Serikali inasemaje juu ya tatizo hilo.
Nashauri kama Rais anasema Watanzania tusubaguane kwa Itikadi vipi huyo Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga?

Yani unamuqmini huyu mashamba na limbukeni?
Hana maana kabisa. Ni mbaguzi, lakini kubwa ni kwamba ni meoga na hana hoja wala hajui kujenga hoja. Anachojua ni nguvu tu.

Akishashusha za chadema atasema za ccm nazo zishuke aweke za jeshi
 
I know the guy, he is truely a disgrace. Sijui phd aliipataje?
 
Kwani mkuu lugha za hivyo/ubabe huo wa ma-dc hujui wamejifunzia kutoka kwa nani?
Kujua hayo hayasaidii. Chukueni hatua za kisheria kwa mambo yenye ushahidi. Kwanini mnaonaga kulalamika tu ndio suluhisho?
 
Hayo ya kuagiza kung'oa bendera yanatangazwa hadharani kuna mazito zaidi yanaamuliwa mafichoni nalo ni tatizo la CHADEMA ?
Hivi hawa vipi? Lakini tatizo ni Chadema pia kulea huu ujinga. Atoe hizo bendera pamoja na ushahidi wa amri yake wampeleke mahakamani. Waache kulialia tu
 
Ndio ujinga wenu huo yani hapo mtalialia mkisubiri mabeberu wawapambanie nani kakuambia duniani huko una mjomba? Hao wanangoa ni wakuanza nao mkiua hata wawili hamtasikia huo ujinga tena
Mabeberu weusi hatimae wataondoka kwa nguvu ya umma
 
Back
Top Bottom