ulaya12 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2017 Posts 834 Reaction score 907 Dec 8, 2019 #101 cha kujiuliza mbona haya mambo kipindi cha awamu ya 4 hayakuwepo,kwangu mimi pamoja na mapungufu yote yaliyofanyika awamu iliyopita,bado naona i awamu nzuri kuliko hii ya 5.
cha kujiuliza mbona haya mambo kipindi cha awamu ya 4 hayakuwepo,kwangu mimi pamoja na mapungufu yote yaliyofanyika awamu iliyopita,bado naona i awamu nzuri kuliko hii ya 5.
mjoli wa kweli JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 630 Reaction score 385 Dec 9, 2019 #102 Nadhani wakati umefika Tanzania ijulikane kama nchi inayoendeshwa kwa mfumo wa chama kimoja