Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 47
leo asubuhi nimeenda ofisini kwa mkuu wa wilaya kutafuta msaada wa kujiendeleza n kidato cha tano baada ya kushindwa chaguliwa n serikali nilichoambulia n matusi ya nguoni...
Sasa umepata divisheni sifuri halafu unaenda kuomba msaada wa kuendelea na form five unategemea nini zaidi ya matusi?-nashangaa kwa nini hakukuzaba makofi!!
Typical Tanzanian mentality! Wenzetu walioendelea mtu kama huyu atapewa kila aina ya msaada (hata kama amefeli) kwa sababu:
Halafu tunashangaa nchi yetu haiendelei!!!
- Ameonyesha moyo wa kujiendeleza - hivyo haitajiki kum-motivate zaidi
- Kuwa kafeli mtihani aliofeli haina maana hawezi ku-excel kwingine.

Habari haijakamilika mkuu wa wilaya siyo mwehu eleza ukweli kilichotokea
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
ina wezekana kabisa kama mwanasheria wa wilaya alitukanwa tusi kubwa hivi ww kijana wa kimaskini utakuwa umetukanwa tusi kubwa sanaEleza mambo kwa kirefu; wewe ulimweleza nini na yeye alikujibu nini? kwani hawa rafiki zake Ridhiwani wana tabia za Vijiweni. mfano kule Korogwe kuna mKuu wa Wilaya aliyewahi mtukana mwanasheria wa halmashauri eti ana digrii ya "UNDERWEAR"