mkuu wa wilaya tarime kanitukana

mkuu wa wilaya tarime kanitukana

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
47
leo asubuhi nimeenda ofisini kwa mkuu wa wilaya kutafuta msaada wa kujiendeleza n kidato cha tano baada ya kushindwa chaguliwa n serikali nilichoambulia n matusi ya nguoni...
 
sema ulichomwambia na matusi aliyotoa ili usaidiwe
 
Ingekuwa umefauru sawa, nyie ndio mnaopenda kuchafua majina ya watu
 
Sasa umepata divisheni sifuri halafu unaenda kuomba msaada wa kuendelea na form five unategemea nini zaidi ya matusi?-nashangaa kwa nini hakukuzaba makofi!!
 
Typical Tanzanian mentality! Wenzetu walioendelea mtu kama huyu atapewa kila aina ya msaada (hata kama amefeli) kwa sababu:
  1. Ameonyesha moyo wa kujiendeleza - hivyo haitajiki kum-motivate zaidi
  2. Kuwa kafeli mtihani aliofeli haina maana hawezi ku-excel kwingine.
Halafu tunashangaa nchi yetu haiendelei!!!
 
kakutukanaje? kasema "biology" yako weee au kataja kiungo gani cha uzazi? Pole sana ndio Green Guard wetu hao
 
Typical Tanzanian mentality! Wenzetu walioendelea mtu kama huyu atapewa kila aina ya msaada (hata kama amefeli) kwa sababu:
  1. Ameonyesha moyo wa kujiendeleza - hivyo haitajiki kum-motivate zaidi
  2. Kuwa kafeli mtihani aliofeli haina maana hawezi ku-excel kwingine.
Halafu tunashangaa nchi yetu haiendelei!!!

Ni wachache sana wenye mtizamo lama wako. Ukweli hakupaswa kumtukana
 
leo asubuhi nimeenda ofisini kwa mkuu wa wilaya kutafuta msaada wa kujiendeleza n kidato cha tano baada ya kushindwa chaguliwa n serikali nilichoambulia n matusi ya nguoni...

Habari haijakamilika mkuu wa wilaya siyo mwehu eleza ukweli kilichotokea

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Sasa umepata divisheni sifuri halafu unaenda kuomba msaada wa kuendelea na form five unategemea nini zaidi ya matusi?-nashangaa kwa nini hakukuzaba makofi!!

Mfano angekuwa ni mwanao wa kumzaa, ungemsaidiaje? Au ingekuwa makofi usiku na mchana? Huyu kafeli mtihani ila nia ya kusoma bado anayo.....
 
leo asubuhi nimeenda ofisini kwa mkuu wa wilaya kutafuta msaada wa kujiendeleza n kidato cha tano baada ya kushindwa chaguliwa n serikali nilichoambulia n matusi ya nguoni...

Eleza mambo kwa kirefu; wewe ulimweleza nini na yeye alikujibu nini? kwani hawa rafiki zake Ridhiwani wana tabia za Vijiweni. mfano kule Korogwe kuna mKuu wa Wilaya aliyewahi mtukana mwanasheria wa halmashauri eti ana digrii ya "UNDERWEAR"
 
mtoa mada nahisi matusi yalikuwa makali sana mpaka umeshindwa kurudi kuelezea ila hasira na uchungu ukipungua uje utueleze hayo matusi ili nasi tuhuzunike, pia si unajua hawa wakuu wa wilaya nao huwa wana login huku so atakutafuta akufanyizie kwani kwenye daftari la wageni utakuwa uliandika jina na mawasiliano yako. anaweza kukutumia green guard wakudhuru, kuwa makini na viongozi wanaoteuliwa kwa ahadi
 
Eleza mambo kwa kirefu; wewe ulimweleza nini na yeye alikujibu nini? kwani hawa rafiki zake Ridhiwani wana tabia za Vijiweni. mfano kule Korogwe kuna mKuu wa Wilaya aliyewahi mtukana mwanasheria wa halmashauri eti ana digrii ya "UNDERWEAR"
ina wezekana kabisa kama mwanasheria wa wilaya alitukanwa tusi kubwa hivi ww kijana wa kimaskini utakuwa umetukanwa tusi kubwa sana
 
Typical Tanzanian mentality! Wenzetu walioendelea mtu kama huyu atapewa kila aina ya msaada (hata kama amefeli) kwa sababu:
  1. Ameonyesha moyo wa kujiendeleza - hivyo haitajiki kum-motivate zaidi
  2. Kuwa kafeli mtihani aliofeli haina maana hawezi ku-excel kwingine.
Halafu tunashangaa nchi yetu haiendelei!!!

Hapo kwenye nyekundu sentensi haijakaa vizuri.
 
Sasa umepata divisheni sifuri halafu unaenda kuomba msaada wa kuendelea na form five unategemea nini zaidi ya matusi?-nashangaa kwa nini hakukuzaba makofi!!

Ukiangalia kwa upeo wa 'kijinga-jinga'...lazima utaona kuwa wote wanaopata division zero ni udhaifu wao..lakini ukiangalia kwa jicho makini, udhaifu wa mfumo wa elimu Tanzania unachangia sana kwenye division zero nyingi tu!
 
leo asubuhi nimeenda ofisini kwa mkuu wa wilaya kutafuta msaada wa kujiendeleza n kidato cha tano baada ya kushindwa chaguliwa n serikali nilichoambulia n matusi ya nguoni...

Hao ndio makada wa ccm..chezea ccm aka green guard weye!
 
Dah, pole sana.. Nenda kamfungulie mashtaka mahakamani..
 
Typical Tanzanian mentality! Wenzetu walioendelea mtu kama huyu atapewa kila aina ya msaada (hata kama amefeli) kwa sababu:
  1. Ameonyesha moyo wa kujiendeleza - hivyo haitajiki kum-motivate zaidi
  2. Kuwa kafeli mtihani aliofeli haina maana hawezi ku-excel kwingine.
Halafu tunashangaa nchi yetu haiendelei!!!

mkuu nimekukubali kwa ujumbe wako mzuri na unaojenga,big up
 
Chezea C/o wa Ridhiwan wewe? Pole ndugu uliyetukanwa hawa jamaa ni wa kuwa nao makin sana manake wengi wao ni wale ambao pia wamesha-reseat sana kutafuta C za O-level mpaka wakakata tamaa hivyo unapomletea Mambo ya kusoma, anahis unamtilia giza
 
Back
Top Bottom