wamogori
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 888
- 339
Eleza mambo kwa kirefu; wewe ulimweleza nini na yeye alikujibu nini? kwani hawa rafiki zake Ridhiwani wana tabia za Vijiweni. mfano kule Korogwe kuna mKuu wa Wilaya aliyewahi mtukana mwanasheria wa halmashauri eti ana digrii ya "UNDERWEAR"
halafu cha ajabu yule mwanasheria akafungua kesi na matokeo yake ni yule mkuu wa wilaya alihamishwa kwa muda kupooza hali ya hewa then yule mwanasheria akapata uhamisho wa kudumu na yule mkuu wa wilaya akarudishwa pale pale korogwe hadi leo hii.