mkuu wa wilaya tarime kanitukana

mkuu wa wilaya tarime kanitukana

Eleza mambo kwa kirefu; wewe ulimweleza nini na yeye alikujibu nini? kwani hawa rafiki zake Ridhiwani wana tabia za Vijiweni. mfano kule Korogwe kuna mKuu wa Wilaya aliyewahi mtukana mwanasheria wa halmashauri eti ana digrii ya "UNDERWEAR"

halafu cha ajabu yule mwanasheria akafungua kesi na matokeo yake ni yule mkuu wa wilaya alihamishwa kwa muda kupooza hali ya hewa then yule mwanasheria akapata uhamisho wa kudumu na yule mkuu wa wilaya akarudishwa pale pale korogwe hadi leo hii.
 
Pole sana Kamanda, mkono wa mwanadamu usipokuokoa basi Mkono wa Mungu upo kuwasaidia wanyonge kama wewe na haijalishi upo ktk nafasi gani mbaya.
 
Typical Tanzanian mentality! Wenzetu walioendelea mtu kama huyu atapewa kila aina ya msaada (hata kama amefeli) kwa sababu:
  1. Ameonyesha moyo wa kujiendeleza - hivyo haitajiki kum-motivate zaidi
  2. Kuwa kafeli mtihani aliofeli haina maana hawezi ku-excel kwingine.
Halafu tunashangaa nchi yetu haiendelei!!!

Amepata div. zero unataka asaidiwe kwenda form five? Aende akasome nini? Angesema anataka msaada wa kujiendeleza kivingine ingeeleweka-lakini asaidiwe aende form five? Wee unacheza wewe!!
 
Mfano angekuwa ni mwanao wa kumzaa, ungemsaidiaje? Au ingekuwa makofi usiku na mchana? Huyu kafeli mtihani ila nia ya kusoma bado anayo.....

Angeweza akafanya mengi, mojawapo ni kwa kuwa ameonyesha nia ya kujiendeleza basi kuna VETA anaweza kwenda kujifunza ufundi au akafanya part time studies ili kuweza kujipatia sifa za ziada kwa ajili ya kujiendeleza zaidi.

Hata huyo mwanangu akinijia na maombi yasiyo na mashiko hatuwezi kuelewana!!
 
Ukiangalia kwa upeo wa 'kijinga-jinga'...lazima utaona kuwa wote wanaopata division zero ni udhaifu wao..lakini ukiangalia kwa jicho makini, udhaifu wa mfumo wa elimu Tanzania unachangia sana kwenye division zero nyingi tu!

Bila kujali huo upe wa 'kijinga-jinga' bado ukweli unabaki pale pale kwamba mtu aliyefeli kuomba apatiwe msaada ili aendelee na kidato cha tano ni wazi kwamba ni ombi la 'kijinga-jinga'. Lakini kwa mtu anayeona ombi hilo ni sahihi na kulishabikia nadhani naye pia ana upeo ule ule wa 'kijinga-jinga'
 
Angeweza akafanya mengi, mojawapo ni kwa kuwa ameonyesha nia ya kujiendeleza basi kuna VETA anaweza kwenda kujifunza ufundi au akafanya part time studies ili kuweza kujipatia sifa za ziada kwa ajili ya kujiendeleza zaidi.

Hata huyo mwanangu akinijia na maombi yasiyo na mashiko hatuwezi kuelewana!!

Ndio hayo kijana aliyotegemea kwa 'mzazi', bado wanahitaji guidance ya wazazi ndugu yangu, hata kama wanakuja na suruali zao zile za kudondokea magotini....Kwa hiyo hata tukiwapa vibao vya kelbu, mizigo inaturudia....
 
Typical Tanzanian mentality! Wenzetu walioendelea mtu kama huyu atapewa kila aina ya msaada (hata kama amefeli) kwa sababu:
  1. Ameonyesha moyo wa kujiendeleza - hivyo haitajiki kum-motivate zaidi
  2. Kuwa kafeli mtihani aliofeli haina maana hawezi ku-excel kwingine.
Halafu tunashangaa nchi yetu haiendelei!!!

Yap! Ni kweli mkuu
 
Kwa serikal ya JK kabwela ananuka ktk kila ofisi aendayo.POLE SANA KIJANA
 
unani judge vibaya kaka me nimepata III 25 nina credit tatu ila combination imegoma kwa shule za private nachukuliwa....usinidharau uwezijua kesho itakuaje....
 
Ccm kwa ccm mnatukana nana basi na we mtu.......
 
nimepata III 25 naombeni msaada nipate mdhamini ntaweka cheti changu cha kidato cha nne rehani baada ya masomo nitamludishia....
 
Back
Top Bottom