Eleza mambo kwa kirefu; wewe ulimweleza nini na yeye alikujibu nini? kwani hawa rafiki zake Ridhiwani wana tabia za Vijiweni. mfano kule Korogwe kuna mKuu wa Wilaya aliyewahi mtukana mwanasheria wa halmashauri eti ana digrii ya "UNDERWEAR"
Typical Tanzanian mentality! Wenzetu walioendelea mtu kama huyu atapewa kila aina ya msaada (hata kama amefeli) kwa sababu:
Halafu tunashangaa nchi yetu haiendelei!!!
- Ameonyesha moyo wa kujiendeleza - hivyo haitajiki kum-motivate zaidi
- Kuwa kafeli mtihani aliofeli haina maana hawezi ku-excel kwingine.
Mfano angekuwa ni mwanao wa kumzaa, ungemsaidiaje? Au ingekuwa makofi usiku na mchana? Huyu kafeli mtihani ila nia ya kusoma bado anayo.....
Ukiangalia kwa upeo wa 'kijinga-jinga'...lazima utaona kuwa wote wanaopata division zero ni udhaifu wao..lakini ukiangalia kwa jicho makini, udhaifu wa mfumo wa elimu Tanzania unachangia sana kwenye division zero nyingi tu!
Angeweza akafanya mengi, mojawapo ni kwa kuwa ameonyesha nia ya kujiendeleza basi kuna VETA anaweza kwenda kujifunza ufundi au akafanya part time studies ili kuweza kujipatia sifa za ziada kwa ajili ya kujiendeleza zaidi.
Hata huyo mwanangu akinijia na maombi yasiyo na mashiko hatuwezi kuelewana!!