A
Anonymous
Guest
Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika.
Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa.
Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo inapelekea watu kutaabika kwa sehemu pekee ya kufanyikia mazoezi hasa kwa Timu ya SIMIYU VETERANS kukosa uwanja pamoja na Vijana wanaosimamiwa na hiyo timu pia kuna wachezaji wa VolleyBall na Basket kutoka maeneo mbalimbali kudababisha kukosa sehemu ya kufanyia mazoezi bila sababu maalumu.
Lakini cha kushangaza tangu ufungwe huo uwanja umekuwa ni sehemu ya kufungulia mifugo yake ichungiwe humo ndani sasa hatujui kama hiyo mifugo nayo inafanya mazoezi humo