Mkuu wa Wilaya ya Hai na RPC Kilimanjaro wachunguzwe kwa matukio ya Kisiasa

To every problem there is a solution. Hata ujinga wa Sabaya kuna njia ya kuumaliza
 
Africa is fighting independence for the second time everywhere. This indigenous colonialists like maccm represent the worst form of colonialism, because they can camouflage as if they have the best interest of people.
 
Naona jamaa katulia sijui alipewa Onyo
 
Nimetembelea kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii habari ambayo imetrend leo hasahasa twitter na JF ni CCTV video zikimuonesha Sabaya na watu wake wakiingia kwenye maduka na kufanya upekuzi wa kushitukiza.

Sasa mi binafsi nauliza huyu Sabaya amekosea wapi kufanya ziara ya kushitukiza yeye kama mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya?

Sabaya ni mtu mmoja makini sana...anafahamika tangia akiwa shuleni...huwa hapendi kuyumbishwa na anachukia sana wizi. Binafsi namfananisha na ndugu yake Sokoine...huwa habadilishi mawazo nakuanza kusifia ufisadi.

Nawashauri wasiompenda wahame nchi au wamuue tu. Mtu kama huyu nchi bado inamhitaji sana. Ni kiongozi mwadilifu...mwanafunzi aliyeiva wa Magufuli.

Mama Samia, huyu kijana anafaa apewe ukuu wa Mkoa kama sio Kilimanjaro basi iwe ni Arusha.

Ndugu Sabaya, endelea kupambana mkuu...vijana wengi tupo nyuma yako. Makabila yote tunakusapoti mkuu...nyoosha palipopinda.

Hongera sana na endelea na kazi njema.
Tunakuombea!
 
Bashiiiii.......tee!
 
Mkuu mi mwenyewe ninakukubali wewe vibaya sana,upo vizuri Nakuomba kwa Mama Samoa akupe nafasi ya Ukuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
 
Nimetembelea kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii habari ambayo imetrend leo hasahasa twitter na JF ni CCTV video zikimuonesha Sabaya na watu wake wakiingia kwenye maduka na kufanya upekuzi wa kushitukiza.

Sasa mi binafsi nauliza huyu Sabaya amekosea wapi kufanya ziara ya kushitukiza yeye kama mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya?

Sabaya ni mtu mmoja makini sana...anafahamika tangia akiwa shuleni...huwa hapendi kuyumbishwa na anachukia sana wizi. Binafsi namfananisha na ndugu yake Sokoine...huwa habadilishi mawazo nakuanza kusifia ufisadi.

Nawashauri wasiompenda wahame nchi au wamuue tu. Mtu kama huyu nchi bado inamhitaji sana. Ni kiongozi mwadilifu...mwanafunzi aliyeiva wa Magufuli.

Mama Samia, huyu kijana anafaa apewe ukuu wa Mkoa kama sio Kilimanjaro basi iwe ni Arusha.

Ndugu Sabaya, endelea kupambana mkuu...vijana wengi tupo nyuma yako. Makabila yote tunakusapoti mkuu...nyoosha palipopinda.

Hongera sana na endelea na kazi njema.
Tunakuombea!
Your head need to be examined
 
Nasema hivi mwambie aliyekutuma kila lenye mwanzo halikosi kua na mwisho. Kwa taarifa yako mwisho wake umefika akae kwa kutulia asitafute huruma bali atumie muda wake kumuomba Mungu toba. Huyo boss mavi wako kaumize watu kibao kupenda sifa na kupandisha mabega juu
 
Back
Top Bottom