Mkuu wa usalama kwa Wilaya zote Tanzania?.Nimetembelea kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii habari ambayo imetrend leo hasahasa twitter na JF ni CCTV video zikimuonesha Sabaya na watu wake wakiingia kwenye maduka na kufanya upekuzi wa kushitukiza.
Sasa mi binafsi nauliza huyu Sabaya amekosea wapi kufanya ziara ya kushitukiza yeye kama mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya?
Sawa Sawa, lakini ujue tu kwamba kama Watanzania au rais atashindwa kutuondolea ‘uonevu’, Mungu atatuondolea mwenyewe!Nimetembelea kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii habari ambayo imetrend leo hasahasa twitter na JF ni CCTV video zikimuonesha Sabaya na watu wake wakiingia kwenye maduka na kufanya upekuzi wa kushitukiza.
Sasa mi binafsi nauliza huyu Sabaya amekosea wapi kufanya ziara ya kushitukiza yeye kama mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya?
Sabaya ni mtu mmoja makini sana...anafahamika tangia akiwa shuleni...huwa hapendi kuyumbishwa na anachukia sana wizi. Binafsi namfananisha na ndugu yake Sokoine...huwa habadilishi mawazo nakuanza kusifia ufisadi.
Nawashauri wasiompenda wahame nchi au wamuue tu. Mtu kama huyu nchi bado inamhitaji sana. Ni kiongozi mwadilifu...mwanafunzi aliyeiva wa Magufuli.
Mama Samia, huyu kijana anafaa apewe ukuu wa Mkoa kama sio Kilimanjaro basi iwe ni Arusha.
Ndugu Sabaya, endelea kupambana mkuu...vijana wengi tupo nyuma yako. Makabila yote tunakusapoti mkuu...nyoosha palipopinda.
Hongera sana na endelea na kazi njema.
Tunakuombea!
Acha kujipigia au kumpigia debe DC OLE SABAYA.Nimetembelea kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii habari ambayo imetrend leo hasahasa twitter na JF ni CCTV video zikimuonesha Sabaya na watu wake wakiingia kwenye maduka na kufanya upekuzi wa kushitukiza.
Sasa mi binafsi nauliza huyu Sabaya amekosea wapi kufanya ziara ya kushitukiza yeye kama mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya?
Sabaya ni mtu mmoja makini sana...anafahamika tangia akiwa shuleni...huwa hapendi kuyumbishwa na anachukia sana wizi. Binafsi namfananisha na ndugu yake Sokoine...huwa habadilishi mawazo nakuanza kusifia ufisadi.
Nawashauri wasiompenda wahame nchi au wamuue tu. Mtu kama huyu nchi bado inamhitaji sana. Ni kiongozi mwadilifu...mwanafunzi aliyeiva wa Magufuli.
Mama Samia, huyu kijana anafaa apewe ukuu wa Mkoa kama sio Kilimanjaro basi iwe ni Arusha.
Ndugu Sabaya, endelea kupambana mkuu...vijana wengi tupo nyuma yako. Makabila yote tunakusapoti mkuu...nyoosha palipopinda.
Hongera sana na endelea na kazi njema.
Tunakuombea!
Lazima aende zake.Hatutaki majizi na mauaji kwenye hii awamu ya 6.Nimetembelea kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii habari ambayo imetrend leo hasahasa twitter na JF ni CCTV video zikimuonesha Sabaya na watu wake wakiingia kwenye maduka na kufanya upekuzi wa kushitukiza.
Sasa mi binafsi nauliza huyu Sabaya amekosea wapi kufanya ziara ya kushitukiza yeye kama mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya?
Sabaya ni mtu mmoja makini sana...anafahamika tangia akiwa shuleni...huwa hapendi kuyumbishwa na anachukia sana wizi. Binafsi namfananisha na ndugu yake Sokoine...huwa habadilishi mawazo nakuanza kusifia ufisadi.
Nawashauri wasiompenda wahame nchi au wamuue tu. Mtu kama huyu nchi bado inamhitaji sana. Ni kiongozi mwadilifu...mwanafunzi aliyeiva wa Magufuli.
Mama Samia, huyu kijana anafaa apewe ukuu wa Mkoa kama sio Kilimanjaro basi iwe ni Arusha.
Ndugu Sabaya, endelea kupambana mkuu...vijana wengi tupo nyuma yako. Makabila yote tunakusapoti mkuu...nyoosha palipopinda.
Hongera sana na endelea na kazi njema.
Tunakuombea!
Kumbe Sabaya kamtoa Mbowe bungeni!Acha kujipigia au kumpigia debe DC OLE SABAYA.
Kipindi cha Sabaya cha kuonesha Ubabe wake kimekwisha siku ile Hayati Magufuli alipotangazwa hatuko naye!!!
Hata Magufuli mwenyewe alishafikia Uamzi wa kumpiga chini nasikia kilichomtetea ni kumhakikishia kuwa Mhe. Freeman Mbowe harudi bungeni at any cost! Sasa hatuwezi kuendelea na Wakuu wa Wilaya au Mikoa wanaowabagua WATANZANIA KWA ITIKADI ZA VYAMA VAO, MAONI AU IMANI ZAO ZA DINI!!
Yaani Karne ya 21 kichaa fulani anaturudisha kwenye UKABURU WA MTU MWEUSI kweli..?? No way, Sabaya must go!!!!
Una kazi kubwa sana ya kujisafisha Sir. BayaNimetembelea kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii habari ambayo imetrend leo hasahasa twitter na JF ni CCTV video zikimuonesha Sabaya na watu wake wakiingia kwenye maduka na kufanya upekuzi wa kushitukiza.
Sasa mi binafsi nauliza huyu Sabaya amekosea wapi kufanya ziara ya kushitukiza yeye kama mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya?
Sabaya ni mtu mmoja makini sana...anafahamika tangia akiwa shuleni...huwa hapendi kuyumbishwa na anachukia sana wizi. Binafsi namfananisha na ndugu yake Sokoine...huwa habadilishi mawazo nakuanza kusifia ufisadi.
Nawashauri wasiompenda wahame nchi au wamuue tu. Mtu kama huyu nchi bado inamhitaji sana. Ni kiongozi mwadilifu...mwanafunzi aliyeiva wa Magufuli.
Mama Samia, huyu kijana anafaa apewe ukuu wa Mkoa kama sio Kilimanjaro basi iwe ni Arusha.
Ndugu Sabaya, endelea kupambana mkuu...vijana wengi tupo nyuma yako. Makabila yote tunakusapoti mkuu...nyoosha palipopinda.
Hongera sana na endelea na kazi njema.
Tunakuombea!
Hivi jamani tangu lini DC au RC akafanya kazi za TRA???Mkuu wa usalama kwa Wilaya zote Tanzania?.
Kwa nini asingewasiliana na Mwenzake wa Arusha mwenye mamlaka hiyo afanye hiyo kazi?.
Ndo amekutuma uje hapa kumtetea umekwamaNimetembelea kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii habari ambayo imetrend leo hasahasa twitter na JF ni CCTV video zikimuonesha Sabaya na watu wake wakiingia kwenye maduka na kufanya upekuzi wa kushitukiza.
Sasa mi binafsi nauliza huyu Sabaya amekosea wapi kufanya ziara ya kushitukiza yeye kama mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya?
Sabaya ni mtu mmoja makini sana...anafahamika tangia akiwa shuleni...huwa hapendi kuyumbishwa na anachukia sana wizi. Binafsi namfananisha na ndugu yake Sokoine...huwa habadilishi mawazo nakuanza kusifia ufisadi.
Nawashauri wasiompenda wahame nchi au wamuue tu. Mtu kama huyu nchi bado inamhitaji sana. Ni kiongozi mwadilifu...mwanafunzi aliyeiva wa Magufuli.
Mama Samia, huyu kijana anafaa apewe ukuu wa Mkoa kama sio Kilimanjaro basi iwe ni Arusha.
Ndugu Sabaya, endelea kupambana mkuu...vijana wengi tupo nyuma yako. Makabila yote tunakusapoti mkuu...nyoosha palipopinda.
Hongera sana na endelea na kazi njema.
Tunakuombea!
USIJIFANYE HAMNAZO......Unajua vizuri sana what happened during Election campaign and Voting day....!!!Kumbe Sabaya kamtoa Mbowe bungeni!
Sabaya ni gaidiNdo amekutuma uje hapa kumtetea umekwama
Sabaya ni DC wa Hai mkoani Kilimanjaro video inayotembea alivamia duka mjini Arusha hapo bado hujaona kuwa ipo shida? Unapulizia perfume kwenye uharo?Nimetembelea kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii habari ambayo imetrend leo hasahasa twitter na JF ni CCTV video zikimuonesha Sabaya na watu wake wakiingia kwenye maduka na kufanya upekuzi wa kushitukiza.