Mkuu wa Wilaya ya Hai na RPC Kilimanjaro wachunguzwe kwa matukio ya Kisiasa

Mkuu wa usalama kwa Wilaya zote Tanzania?.

Kwa nini asingewasiliana na Mwenzake wa Arusha mwenye mamlaka hiyo afanye hiyo kazi?.
 
Sawa Sawa, lakini ujue tu kwamba kama Watanzania au rais atashindwa kutuondolea ‘uonevu’, Mungu atatuondolea mwenyewe!
 
Acha kujipigia au kumpigia debe DC OLE SABAYA.
Kipindi cha Sabaya cha kuonesha Ubabe wake kimekwisha siku ile Hayati Magufuli alipotangazwa hatuko naye!!!
Hata Magufuli mwenyewe alishafikia Uamzi wa kumpiga chini nasikia kilichomtetea ni kumhakikishia kuwa Mhe. Freeman Mbowe harudi bungeni at any cost! Sasa hatuwezi kuendelea na Wakuu wa Wilaya au Mikoa wanaowabagua WATANZANIA KWA ITIKADI ZA VYAMA VAO, MAONI AU IMANI ZAO ZA DINI!!
Yaani Karne ya 21 kichaa fulani anaturudisha kwenye UKABURU WA MTU MWEUSI kweli..?? No way, Sabaya must go!!!!
 
Lazima aende zake.Hatutaki majizi na mauaji kwenye hii awamu ya 6.
 
Kumbe Sabaya kamtoa Mbowe bungeni!
 
Una kazi kubwa sana ya kujisafisha Sir. Baya
 
Mkuu wa usalama kwa Wilaya zote Tanzania?.

Kwa nini asingewasiliana na Mwenzake wa Arusha mwenye mamlaka hiyo afanye hiyo kazi?.
Hivi jamani tangu lini DC au RC akafanya kazi za TRA???
Ole Sabaya ni jambazi, kibaka na mhuni mkubwa hana lolote. Namsihi mama Rais SSH kwenye uteuzi ngazi ya DCs huyu Ole wake awakwe pembeni ili kurudisha amani na utulivu mikoa ya Arusha na Kikimanjaro please please...!!!
 
Ndo amekutuma uje hapa kumtetea umekwama
 
Kumbe Sabaya kamtoa Mbowe bungeni!
USIJIFANYE HAMNAZO......Unajua vizuri sana what happened during Election campaign and Voting day....!!!
Wazungu walisema," YOU CAN FOOL PEOPLE FOR SOME TIME BUT YOU CAN'T FOOL ALL PEOPLE ALL THE TIME"
Kifo cha hayati Magufuli kimewafungua macho Watanzania!!!Uongo wenu sasa ni dhahiri!
 
Sabaya ni DC wa Hai mkoani Kilimanjaro video inayotembea alivamia duka mjini Arusha hapo bado hujaona kuwa ipo shida? Unapulizia perfume kwenye uharo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…