Hii ni hatua ya kupongezwa kwa Godbless Lemma, amekiri kwamba siasa sio uadui. Hii pia aliisema Mbowe alipokuwa katika kikao Arusha ambapo alihimiza 4R za Samia za kusameheana na kushirikiana.
Mtu pekee ambaye anaendesha siasa za chuki ndani ya Chadema ni makamu, ambapo amekuwa akihimiza ghasia, na amekuwa akikashifu watu wa jinsia ya kike