Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Anaandika mwandishi wa habari wa wapo Radio.
Hapo wakati Tuna chati na Dc . Kama Alikuwa Hataki mimi niende katika Ziara yake Ni Vema Angesema kwamba Sitaki Mwandishi Namimi nisingepoteza Muda wangu .
Maana kwa Majibu hayo niliamini kuwa Alikuwa Tayari mimi niwe nae katika ziara yake ila tatizo ni Usafiri tu . Na ndio maana nilijiamini . Na nikaomba Nisafirie Gari la Afisa utumishi.
Kitendo Alichokifanya Dc . cha kunikatalia na kunishusha Katika Msitu mkubwa Na kunikodia Pikipiki ili nirudi Home Hakikuwa cha kiuungwa . .
Waandishi sasa tunajiuliza hivi Stor Anazo paswa kuzijibia Dc Tutamwendea nani wakati yeye hataki waandishi? .
Sasa tutalazimika kubalance Stor Za kilwa kwa RC LINDI .
Na Akituuliza sisi tutamwambia ukweli .
Tunapo Andika Ayafanyayo Dc inamaana tuna mpaisha yeye na pia tunamweleza raisi kwamba Mteule wake Anawajibika kwa wananchi na ndio tegemeo na Agizo la Rais kwa Ma Rc Na Ma Dc .
Sikutegemea kwakweli na Sija ridhika alichofanya Zainabu kwangu .
Aliogopa nini mimi kufika mkutanoni?
Mbona Sijawahi kuandika Stor Ya kumchafua?
Angeniacha nifike mkutanoni Na mimi ninaakili nikiona Stor Haiko sawa Siwezi kuindika . Aliogopa nini ? .
Mwisho ya yote Mimi Namwachia MUUMBA NA NAMTAKIA Kazi njema .