Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

Mh.Niki wa pili kada mtiifu wa CCM hatumuonihumu na sikawaida yake au majukumu yamemzidi
 
Acheni kuja na mada kama hizi zinazotugawa wananchi,huyu kateuliwa kama DC means raia wote regardless itikadi zao za kisiasa anawajibika kwao kuwaletea maendeleo,hayupo pale kuwahudumia ccm members only,well done kwa uteuzi wako kuwa DC na tumikia watu wote kwa mujibu wa katiba ya nchi.
 
Hapana mkuu hatuwagawi wananchi hili lishaekeweka kuwa Kama si kada wa CCM huwezi kuwa kiongozi katika Nchihii
 
Back
Top Bottom