Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
CcView attachment 3004720
Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia.
Mwalimu mwingine wa Madrasa amelawiti watoto kama sita hivi.
Hapa tu kuna mwalimu wa madrasa amelawiti watoto 15, bora nieleze hapa wazazi mkiwa mnasikia, watoto wa kiume ni wengi kuliko watoto wa kike.
Mkuu wa wilaya ya Mafia Aziza Mangosongo ameyasema haya kwenye mkutano na wananchi wakati wa ziara ya viongozi wa UWT mkoa wa Pwani.
Dah asee ni hatari sana.
Nchi hii kesi hizi zimekuwa nyingi sana.
Rafiki yangu mmoja mwanasheria mwanafunzi anasema alipokwenda field mwezi Dec 2023 katika Mahakma Moja mikoa ya Kaskazini. Alishangaa kukuta mamia ya majalada watoto wa kiume wamelawitiwa. Anasema pengine kesi za ulawiti zimejaa mle kuliko hata kesi za mauwaji.
Hii inafikirisha. Hii hali ni mbaya kuliko kawaida.
Siku hizi naogopa hata kutembelea ndugu coz inawezekana muda wote wakawa na hofu juu ya watoto wao na mimi
Uislamu, madrasa,nilishasema hili dhehebu hili!!View attachment 3004720
Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia.
Mwalimu mwingine wa Madrasa amelawiti watoto kama sita hivi.
Hapa tu kuna mwalimu wa madrasa amelawiti watoto 15, bora nieleze hapa wazazi mkiwa mnasikia, watoto wa kiume ni wengi kuliko watoto wa kike.
Mkuu wa wilaya ya Mafia Aziza Mangosongo ameyasema haya kwenye mkutano na wananchi wakati wa ziara ya viongozi wa UWT mkoa wa Pwani.
Inasikitisha sana sweetheart...
Hili tatizo limeenea kila sehemu.View attachment 3004720
Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia.
Mwalimu mwingine wa Madrasa amelawiti watoto kama sita hivi.
Hapa tu kuna mwalimu wa madrasa amelawiti watoto 15, bora nieleze hapa wazazi mkiwa mnasikia, watoto wa kiume ni wengi kuliko watoto wa kike.
Mkuu wa wilaya ya Mafia Aziza Mangosongo ameyasema haya kwenye mkutano na wananchi wakati wa ziara ya viongozi wa UWT mkoa wa Pwani.
So sadView attachment 3006679
Inasikitisha kwa kweli kwa kiongozi wa dini kufanya uchafu huu.
Umejuaje hawafanyi kwa watoto wao?Inasikitisha.
Kwanini hawa watu wanafanya hivo Kwa watoto wa wenzao na sio Kwa watoto wao.
Serikali wachukulie hatua kali
Inasikitisha sana mkuu, hawa ni viumbe wa ajabu sana. Kwenye huu uzi wanaingia mitini. Wanaona ni mara mia wasile kitimoto, ila watindue ndogo za watoto wa watuWenye dini ya haki, wanapita huu uzi km hawauoni vile.
Kama mtu anakula hadharani kipindi cha ramadhani, mashekh wanabeba mafimbo kuchapa watu. Watashindwa kulawiti?
FaizaFoxy