Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia

Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia

Serikali ingeangalia nini chakufanya kwenye hizi Madrasa kulingana na hali ya sasa.

Zote zisajiliwe na ikiwezakana Madrasa iwe na walimu wawili wakike na wakiume wenye leseni zinazotambulika na mamlaka baada ya proper assessment, in absence ya mwalimu mmoja hakuna kusoma.

Kuwe na register yenye mawasiliano ya Kila mzazi wa mtoto.
Controlling ya hivi vitu ni muhimu Kwa future ya next generation, Ustawi wa jamii ndio kazi zao hizi, tunapaswa kulinda vizazi Kwa maslahi na uwepo wa Taifa imara.
 
Sana.Harafu unakuta mtu anasema muwahurumie wafungwa,duu Huwa sielewi kabisa
Kuhurumia wafungwa ni kwa sababu siyo wafungwa wote wana makosa makubwa na pia kuna wengi wamefungwa bila kosa. Siku hizi ubakaji wa watoto wadogo ni tatizo kubwa sana na kiini ni uongozi mbovu wa nchi na jamii kwa ujumla.
 
Ustawi wa jamii ipo na ndio mamlaka inayopaswa kucoordinate na kusimamia muenendo wa hizi taasisi zinazohusisha malezi ya watoto.

Inaonekana kama kuna system paralyzed matokeo yake vitu vingi vinakuwa out of control.
 
Back
Top Bottom