Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia

Mafia kumekucha ,Afisa elimu katuhumiwa ubakaji ,leo ustadhi abatuhumiwa kugonga ziro za watoto
 
Hawa watu Kwa nini wasiwe wananyongwa?
Kwani kifungo cha maisha ni adhabu ndogo? Tatizo liko kwa wazazi na jamii kwa ujumla. Watu hawako karibu na watoto wao. Kwa namna yoyote ni vigumu sana mtoto kufanyiwa hivyo bila mzazi kujua kama yuko karibu naye. Mzazi inatakiwa umfanye mtoto wako awe rafiki yako. Awe confidence kukumbia chochote bila kuogopa utamkaripia au kumpiga. Ndiyo maana tunasema kuwa kuchapa watoto ni jambo baya.
 
Sana.Harafu unakuta mtu anasema muwahurumie wafungwa,duu Huwa sielewi kabisa
 
Kuua mpumbavu sio kazi ngumu sana.. hakuna majuto maana uliyemuua ni mpumbavu.

Sasa utajutia nini kumuua mpumbavu anayelawiti watoto 15 wa wenzie, kifupi ameharibu historia za watoto wa wenzie.
Kwa hio gaidi huyo alievaa kofia ya Mwalimu wa Madrassa apigwe Mawe hadharani mpaka afe au afungwe jiwe kubwa kisha atoswe baharini
 
Back
Top Bottom