Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia

Masheikh wanatafuna wanafunzi,lakini kwao sio dhambi hiyo ni Sunna,hii ni kawaida yao sana,Zanzibar machoko ni wengi kuliko wazima.
 
Viongozi wetu Wana ukataa ushoga kwa maneno lakini kwa matendo Wana ukubari

Sasa huwa najiuliza mtu asiye shoga Ana wezaje ku promote ushoga?
 
Nimeipenda hii

Hii comment inastahili medali ya dhahabu
 
Reactions: FWC
Kuna mwingine wa kuitwa Etugrul Bey nae yuko vizuri kwenye hizi mambo aje atoe ufafanuzi
Asante madam Kapeace kwa kunikaribisha

Kwanza nasikitika sana kama wadau wa jf badala ya kuaddress hili swala na kulipigia kelele lkn huwa tunalichukulia kishabiki ukristo vs uislamu

Kwa stahili hii hatuta fikia hatua ya kutokomeza huu ufedhuli,,nakubaliana na wote ambao wameona hili swala si maagizo au maelekezo ya dini fulani bali ni madhaifu na ushenzi wa watu husika

Hapa jamii ndio ya kulaumiwa sana,mfano zanzibar nimeshawahi sikia tuhuma kama hizi nyingi lkn wahusika huwa wanayamaliza mambo kifamilia kitu ambacho kinazidi kuchochea matukio kama haya

Kwa mfano polisi wanasema kesi zinafika polisi mashahidi hawaonekani au hawataki kutoa ushirikiano,,sasa jambo kama hili kweli tutaweza kutokomeza huu ufirauni?

Kuna haja kubwa ya kutungwa sheria kali dhidi ya ndugu ambao wanabainika kuficha ushahidi na kuyatatua haya mambo kifamili

Sheria iwe kali kama ya wale ambao wanawaoza watoto wa kike angali wako mashuleni,,kwahiyo jamii nzima tuna wajibu mkubwa wa kupinga huu ukatili kwa nguvu zetu zote

Na adhabu iwe kali sana kwa wahusika wa ulawiti,,adhabu iwe ni kuhasiwa tu na hiyo ndioa dawa,,itakuwa fundisho kwa wengine,,kwasababu hata ukimfunga ataenda kulawiti wenzake magerezani kwahiyo anaendelea kustarehe kwa wakubwa wenzake

Shukrani
 
Ni tabia binafsi ya mtu haina dini hii ila pipo zinajitoaga ufahamu tu
 
Siku hizi usiamini mtu akulelee mtoto wako. Kuna mashetani wengi waliojificha kwenye kusambaza dini pengine kuliko hata kwenye mabar yenye walevi.
Ndio maana kunafanyika mambo mengine, ya aibu na yenye kustaajabisha sana
 
Natamani Sheria iwekwee...
Mtu akilawiti asipate dhamana, na akikutwa na hatua afungwe maisha baada ya kuhasiwa kabisaa.
Mtaani tunakutana na case za ulawiti nyingi, mpaka tunaogopa...watoto wapo hatarini.
 
Wote mpo sawa tu haina tofauti na Yesu ndie njia ya kweli na uzima ,hakuna kumwona baba pasipo yeye[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hata ukipinga itabaki kuwa hivyo YESU KRISTO NDIO NJIA YA UKWELI NA UZIMA Mr atheist
 
mafia asilimia 100 ni waislam,wanafanyiana umafia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…