stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Mwalimu wako wa Madrassa kafanya yake vipi ulinusurika kweli wewe hajakupitia?Pitia uzi vizuri wacha kudandia treni kwa mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu wako wa Madrassa kafanya yake vipi ulinusurika kweli wewe hajakupitia?Pitia uzi vizuri wacha kudandia treni kwa mbele.
Viongozi wetu Wana ukataa ushoga kwa maneno lakini kwa matendo Wana ukubari
Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia.
Mwalimu mwingine wa Madrasa amelawiti watoto kama sita hivi.
Hapa tu kuna mwalimu wa madrasa amelawiti watoto 15, bora nieleze hapa wazazi mkiwa mnasikia, watoto wa kiume ni wengi kuliko watoto wa kike.
Mkuu wa wilaya ya Mafia Aziza Mangosongo ameyasema haya kwenye mkutano na wananchi wakati wa ziara ya viongozi wa UWT mkoa wa Pwani.
Nimeipenda hiiSerikali ingeangalia nini chakufanya kwenye hizi Madrasa kulingana na hali ya sasa.
Zote zisajiliwe na ikiwezakana Madrasa iwe na walimu wawili wakike na wakiume wenye leseni zinazotambulika na mamlaka baada ya proper assessment, in absence ya mwalimu mmoja hakuna kusoma.
Kuwe na register yenye mawasiliano ya Kila mzazi wa mtoto.
Controlling ya hivi vitu ni muhimu Kwa future ya next generation, Ustawi wa jamii ndio kazi zao hizi, tunapaswa kulinda vizazi Kwa maslahi na uwepo wa Taifa imara.
Asante madam Kapeace kwa kunikaribishaKuna mwingine wa kuitwa Etugrul Bey nae yuko vizuri kwenye hizi mambo aje atoe ufafanuzi
Ni tabia binafsi ya mtu haina dini hii ila pipo zinajitoaga ufahamu tuAsante madam Kapeace kwa kunikaribisha
Kwanza nasikitika sana kama wadau wa jf badala ya kuaddress hili swala na kulipigia kelele lkn huwa tunalichukulia kishabiki ukristo vs uislamu
Kwa stahili hii hatuta fikia hatua ya kutokomeza huu ufedhuli,,nakubaliana na wote ambao wameona hili swala si maagizo au maelekezo ya dini fulani bali ni madhaifu na ushenzi wa watu husika
Hapa jamii ndio ya kulaumiwa sana,mfano zanzibar nimeshawahi sikia tuhuma kama hizi nyingi lkn wahusika huwa wanayamaliza mambo kifamilia kitu ambacho kinazidi kuchochea matukio kama haya
Kwa mfano polisi wanasema kesi zinafika polisi mashahidi hawaonekani au hawataki kutoa ushirikiano,,sasa jambo kama hili kweli tutaweza kutokomeza huu ufirauni?
Kuna haja kubwa ya kutungwa sheria kali dhidi ya ndugu ambao wanabainika kuficha ushahidi na kuyatatua haya mambo kifamili
Sheria iwe kali kama ya wale ambao wanawaoza watoto wa kike angali wako mashuleni,,kwahiyo jamii nzima tuna wajibu mkubwa wa kupinga huu ukatili kwa nguvu zetu zote
Na adhabu iwe kali sana kwa wahusika wa ulawiti,,adhabu iwe ni kuhasiwa tu na hiyo ndioa dawa,,itakuwa fundisho kwa wengine,,kwasababu hata ukimfunga ataenda kulawiti wenzake magerezani kwahiyo anaendelea kustarehe kwa wakubwa wenzake
Shukrani
So?Hatutei ujinga ndio maana kuna sheria , mbakaji hamna kesi ni kumaliza tu.
Hawa uliowaita ni wa dawati la unyanyasaji watoto!!??
🤣🤣🤣Kuna mwingine wa kuitwa Etugrul Bey nae yuko vizuri kwenye hizi mambo aje atoe ufafanuzi
Wao ndo Huwa wanajinasibu kuwa dini Yao ya kweliSifikiri kama dini huwa zinafundisha hivyo ,naona tu ni hulka ya mtu binafsi kwasababu mambo ya hivyo yanatokea pande zote .
Wote mpo sawa tu haina tofauti na Yesu ndie njia ya kweli na uzima ,hakuna kumwona baba pasipo yeye😁😁😁😁Wao ndo Huwa wanajinasibu kuwa dini Yao ya kweli
Hata ukipinga itabaki kuwa hivyo YESU KRISTO NDIO NJIA YA UKWELI NA UZIMA Mr atheistWote mpo sawa tu haina tofauti na Yesu ndie njia ya kweli na uzima ,hakuna kumwona baba pasipo yeye[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Siku mkijifunza namna ya kutawala ego zenu ,ndio siku mtaishi kwa upendo na utu mr mlokole .Hata ukipinga itabaki kuwa hivyo YESU KRISTO NDIO NJIA YA UKWELI NA UZIMA Mr atheist
mafia asilimia 100 ni waislam,wanafanyiana umafia!!
Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia.
Mwalimu mwingine wa Madrasa amelawiti watoto kama sita hivi.
Hapa tu kuna mwalimu wa madrasa amelawiti watoto 15, bora nieleze hapa wazazi mkiwa mnasikia, watoto wa kiume ni wengi kuliko watoto wa kike.
Mkuu wa wilaya ya Mafia Aziza Mangosongo ameyasema haya kwenye mkutano na wananchi wakati wa ziara ya viongozi wa UWT mkoa wa Pwani.