mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Ila mama D tuambiane ukweli, Msando sio baba D kwel!!??
Ni mawazo yngu TU yenye uwalakini, kwa hyo usinikasirikie, nmeona umejitolea kumpambania Sana kwa nguvu zote!
Msando ni damu yangu😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mama D tuambiane ukweli, Msando sio baba D kwel!!??
Ni mawazo yngu TU yenye uwalakini, kwa hyo usinikasirikie, nmeona umejitolea kumpambania Sana kwa nguvu zote!
Madude ya millioni 100! Yanabomolewa namna hii, tatizo nchi hii misafara ni mikubwa inatumia pesa nyingi.
Yaani viongozi wanatumia pesa nyingi kwenye misafara kuliko msaada na huduma wanazotoa huko wanapoenda
Kugongana uso kwa uso means gari jingine lilitokea the opposite direction, swali linakuja ilikuwaje magari ya upande wa pili yakaruhusiwa wakati wa msafara wa PM? Wamesahau Sokoine alipata ajali hukohuko Dakawa kwa kuruhusu gari za kiraia kupishana na msafara?MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo.
Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafara wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea Morogoro mjini leo Jumamosi, Agosti 14, 2021.
Kama azma ilitimia utasikia wamehamishwa na kupandishwa vyeohapa tatizo/kesi lipo kwa OCD na RPC kwa uongozaji mbaya wa msafara au Taasisi iliyomuazima gari DC dereva aliyepewa majukumu hana weledi wa kazi za msafara