Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt. Sophia Mfaume akiongea kwa uchungu katika msiba wa Askari Polisi waliopoteza maisha katika majibizano ya risasi na majambazi wilayani humo.
Soma Pia: Dodoma: Majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa yaua askari Polisi Wawili na Mtuhumiwa mwenyewe!
Dkt. Sophia amesisitiza juu ya umuhimu wa Jeshi la Polisi katika ulinzi wa raia na mali zao na kutoa pole kwa jeshi hilo, familia na wananchi wote huku akisisitiza kuwa uhalifu wa namna hiyo hauna nafasi wilayani hapo.