MWEMBEKIUNO
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,877
- 2,489
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka mbaya sana huu jamani.View attachment 1431852
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advo Evord Mmanda afariki Dunia alfajiri ya leo.
Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa.
Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.
Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Mtwara na rais Magufuli 19 Dec 2016 akichukua nafasi ya Dkt. Khatib M Kazungu ambaye alihamishiwa Wizara ya Fedha.
Wakili Msomi Mmanda aliyekua pia mjumbe wa Bunge la Katiba. Katika Bunge hilo, aliteuliwa na MWENYEKITI wa Muda wa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kama mmoja ya wajumbe 20 Watakaomshauri ili kuboresha utendaji.
2015 alitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM.
Stay tuned...
Inaweza kuwa ni Corona au isiwe.Haters watasema ni corona....RIP DC
View attachment 1431852
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advo Evord Mmanda afariki Dunia alfajiri ya leo.
Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa.
Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.
Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Mtwara na rais Magufuli 19 Dec 2016 akichukua nafasi ya Dkt. Khatib M Kazungu ambaye alihamishiwa Wizara ya Fedha.
Wakili Msomi Mmanda aliyekua pia mjumbe wa Bunge la Katiba. Katika Bunge hilo, aliteuliwa na MWENYEKITI wa Muda wa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kama mmoja ya wajumbe 20 Watakaomshauri ili kuboresha utendaji.
2015 alitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM.
Stay tuned...
Sawa ila pia china huko wametoa ripoti ya kuover estimate vifo vya corona wakati wengine sio corona.Inaweza kuwa ni Corona au isiwe.
China kuna visa zaidi ya 1000, awali walijua kuwa ni vifo vilivyosababishwa na matatizo na high blood pressure na kisukari lakini uchunguzu wa baadaye wamegundua ilikuwa ni coronavirus. Halikadhalika US, nao wamegundua hivyo hivyo kwa baadhi ya vifo.
Sent using Jamii Forums mobile app
AMINAAA!Mungu amuweke anapostahili
Raha ya milele umpe ee bwana na Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati yake nzuri alitubu jana!
Wewe ndiye wasema.Haters watasema ni corona....RIP DC
sawa mkarukaLaiti kama mkiona wanaozika wamevaa PPE na msiba ni wa watu wachache huku magari yaliyotumika kubeba msiba ni ya Afya.
Jueni ni COVID-19.